Unaweza kuwa na namba za simu za mchumba wa rafiki yako?

Unaweza kuwa na namba za simu za mchumba wa rafiki yako?

Kama ndie aliyekutambulisha kwa huyo mchumba kuna shida gani akiwa na namba? Maana hata namba alikupa yeye
Kama nitakuwa nayo mawili
1) Aliwahi kuwa mchepuko wangu sasa wa rafiki yangu.
2) Namuweka kwenye line kumla shemegi.
3) Hatuna la kuongea na shemegi delete faster.
hiyo ndo changamoto kuna wakati unaweza kuwa hajawhi kuw wako ila unamtamn tyu
 
Kama kahitaji yeye sina pingamizi na hata kunitafuta yeye ndo anianze tofauti na hapo i can't coz wengine twajijua chatting zetu zilivyo utashangaa wiki moja mbele unaanza kuambiwa "huwa napata raha kweli nikiwasiliana na wewe"
 
Una rafikiako, je ni haki kuwa na no za simu za mpenzi wako maan au mpenz wako kuwa na no za rafiki ako?

[emoji736][emoji736]
sio sahihi ila endapo ilitokea basi punguza mazoea sana na rafiki zako.

washindwe kukuelewa wewe ni mtu wa simple gani ili uwachanganye
 
Back
Top Bottom