Unaweza kuwa na namba za simu za mchumba wa rafiki yako?

 
Kama kahitaji yeye sina pingamizi na hata kunitafuta yeye ndo anianze tofauti na hapo i can't coz wengine twajijua chatting zetu zilivyo utashangaa wiki moja mbele unaanza kuambiwa "huwa napata raha kweli nikiwasiliana na wewe"
 
Una rafikiako, je ni haki kuwa na no za simu za mpenzi wako maan au mpenz wako kuwa na no za rafiki ako?

[emoji736][emoji736]
sio sahihi ila endapo ilitokea basi punguza mazoea sana na rafiki zako.

washindwe kukuelewa wewe ni mtu wa simple gani ili uwachanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…