Kusaidoa na kutokusaidia ni uamuzi wako mwenyewe wala huhitaji ushauri wa mtu.Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia maisha
Watoto wake aliwasomesha International school matokeo yake hakuna aliyefika chuo Mimi niliyosoma kayumba nikaenda advance mpka chuo kikuu nikamaliza hakunisaidia kitu akijua sitofika kokote .
Nikapata ajira haikuchukua hata mwezi serilikalini katika jeshi moja wapo la ulinzi ,nikaenda depo hata kunitafuta Wala kuniuliza Niko wapi, nikamaliza depo.
Mda huo watoto wake wapo nyumbani Mimi kanifukuza akisema anataka kupangisha kumbuka nilelewa kituo Cha watoto ya tima nilijepeleka mwenyewe.
Nitaludi........
Huyo sio wakumsaidia kabisa.Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia maisha
Watoto wake aliwasomesha International school matokeo yake hakuna aliyefika chuo Mimi niliyosoma kayumba nikaenda advance mpka chuo kikuu nikamaliza hakunisaidia kitu akijua sitofika kokote .
Nikapata ajira haikuchukua hata mwezi serilikalini katika jeshi moja wapo la ulinzi ,nikaenda depo hata kunitafuta Wala kuniuliza Niko wapi, nikamaliza depo.
Mda huo watoto wake wapo nyumbani Mimi kanifukuza akisema anataka kupangisha kumbuka nilelewa kituo Cha watoto ya tima nilijepeleka mwenyewe.
Nitaludi........
Kama Una Nia na uwezo saidia kwa mfumo WA tenda wema nenda zako,unavolalamika Unatumia nguvu nyiingi kufikiria na kuwazia Watu wasiokujua au kukuthamini....Alafu ukimaliza sikiliza Ngoma ya Diamond platinum na Zuchu(Wale wale)Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia maisha
Watoto wake aliwasomesha International school matokeo yake hakuna aliyefika chuo Mimi niliyosoma kayumba nikaenda advance mpka chuo kikuu nikamaliza hakunisaidia kitu akijua sitofika kokote .
Nikapata ajira haikuchukua hata mwezi serilikalini katika jeshi moja wapo la ulinzi ,nikaenda depo hata kunitafuta Wala kuniuliza Niko wapi, nikamaliza depo.
Mda huo watoto wake wapo nyumbani Mimi kanifukuza akisema anataka kupangisha kumbuka nilelewa kituo Cha watoto ya tima nilijepeleka mwenyewe.
Nitaludi........
Hakuna kitu inaitwa maisha magumu duniani hio ni shuleNimepitia maisha magumu sana
Two wrong can’t make it rightMtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote