Unaweza kuwasaidia ndugu waliokukataa

Unaweza kuwasaidia ndugu waliokukataa

Pole Sana mkuu , unaweza Tu kuwasaidia kwa uchache iwe kama shukrani kwao kwa kukufanyia waliyokufanyia( hii ni adhabu tosha kwao). Ila usiruhusu wakunyenyekee yaani waanze kukukaribia, ukiruhusu Hilo umekwisha
 
Huyo ndio alie kufanya uwe hivyo Sasa. Ange kupa huduma bora usinge toboa usinge kuwa na hasira za maisha wenda nawe unge kuwa kama watoto wake kwasababu nao wange amin baba yupo
 
Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia maisha

Watoto wake aliwasomesha International school matokeo yake hakuna aliyefika chuo Mimi niliyosoma kayumba nikaenda advance mpka chuo kikuu nikamaliza hakunisaidia kitu akijua sitofika kokote .

Nikapata ajira haikuchukua hata mwezi serilikalini katika jeshi moja wapo la ulinzi ,nikaenda depo hata kunitafuta Wala kuniuliza Niko wapi, nikamaliza depo.

Mda huo watoto wake wapo nyumbani Mimi kanifukuza akisema anataka kupangisha kumbuka nilelewa kituo Cha watoto ya tima nilijepeleka mwenyewe.
Nitaludi........
Kusaidoa na kutokusaidia ni uamuzi wako mwenyewe wala huhitaji ushauri wa mtu.
Kama moyo wako ukikwambia saidia, saidia. Ukijihisi usisaidie, basi usisaidie.
 
Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia maisha

Watoto wake aliwasomesha International school matokeo yake hakuna aliyefika chuo Mimi niliyosoma kayumba nikaenda advance mpka chuo kikuu nikamaliza hakunisaidia kitu akijua sitofika kokote .

Nikapata ajira haikuchukua hata mwezi serilikalini katika jeshi moja wapo la ulinzi ,nikaenda depo hata kunitafuta Wala kuniuliza Niko wapi, nikamaliza depo.

Mda huo watoto wake wapo nyumbani Mimi kanifukuza akisema anataka kupangisha kumbuka nilelewa kituo Cha watoto ya tima nilijepeleka mwenyewe.
Nitaludi........
Huyo sio wakumsaidia kabisa.
 
Kama Una Nia na uwezo saidia kwa mfumo WA tenda wema nenda zako,unavolalamika Unatumia nguvu nyiingi kufikiria na kuwazia Watu wasiokujua au kukuthamini....Alafu ukimaliza sikiliza Ngoma ya Diamond platinum na Zuchu(Wale wale)
 
Sasa ungelelewa vyema ungefika chuo kikuuu? Au alipo ulipo jifunze kwa wanae waliolelewa vyema wakafeli.
Tafuta uzuri kwenye ubaya.
Mfano diamond angelelewa bila mateso Leo uenda angekuwa mtumishi fulani hivi kachoka mwezi haukutani.
 
Hata usipomsamehee wewe ndie unaeumia zaidi kwa kubeba mzigo.
Format subconscious mind yako chukulia ulikuwa unapitia chuo cha maisha leo umefuzu
 
UBAYA UBWELA.
Mimi shabiki wa Simba.
Dhahabu imepita kwenye moto ili ing'ae
kuna msaada ni lazima uutoe kama ndugu wa familia elewA ninachokushauri.
Acha kutoa msaada binafsi kwake kwa sasa mpaka kwanza umuite huyo Anko umchane mambo yote aliyokutubisha itakusaidia kutoa sumu moyoni mwako na hili ni lazima ulifanye.
Ni lazima atambue makosa yake tena ni vizuri wanae wawepo kwani mimi ninaamini miongoni mwa watoto wake yupo au wapo watakao kuja kufanya kama Baba yao alivyofanya kwa hiyo ukiwakusanya ukamsomea kesi mzazi wao wao wakiwepo itawasaidia kuwakumbusha kilichomtokea baba yao endapo mmoja wao itamkuta situation kama yako na baba yao kwa hiyo itakuwa umewapa somo.
Lingine kaa mbali na familia ya Anko kwa kuwa hata wanawe wana viashiria vya roho mbaya kwani wakati anakunyanyasa kuna mtoto wake aliwahi kuonyesha kuumizwa na yanayokutokea kama yupo huyo pekee ndo ajabeba roho ya Baba ake
vi

Vinginevyo pandisha vioo pita vile.
 
Yesu hutusamehe makosa yetu kwa Sababu yake mwenyewe, unaishi Maisha ya maumivu sana, wa samehe ila kuwasaidia hapana
 
Pole sana kiongozi,
Naona Mungu aliamua kukufanya kama Yusuph aliyetupwa kwenye kisima na ndugu zake.
Naomba nikukumbushe kuwa, watoto wa huyo bwana hawana kosa kwani walikuwa wadogo lakini pia hawakuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi ya malezi yako.
Hivyo; kwa moyo mnyenyekevu kabisa nakuomba UWASAMEHE na kama kuna namna ya kuweza kuwasaidia, wasaidie...
Kwa kufanya hivyo utakuwa umefanya kusudi la Mungu la kukutoa kwenye umaskini hadi kufanikiwa bila vikwazo vikubwa kwenye mfumo wako wa Elimu. (kuna watu wameumbwa na kufanywa darasa kwa watu wengine)
Lakini pia utakuwa umewapa funzo muhimu sana la maisha hasa hao watoto na huyo aliye walea..
Mungu akubariki sana kwenye kutekeleza kusudi la Mungu kama alivyo fanya Yusuph (Nabii)
 
Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia maisha

Watoto wake aliwasomesha International school matokeo yake hakuna aliyefika chuo Mimi niliyosoma kayumba nikaenda advance mpka chuo kikuu nikamaliza hakunisaidia kitu akijua sitofika kokote .

Nikapata ajira haikuchukua hata mwezi serilikalini katika jeshi moja wapo la ulinzi ,nikaenda depo hata kunitafuta Wala kuniuliza Niko wapi, nikamaliza depo.

Mda huo watoto wake wapo nyumbani Mimi kanifukuza akisema anataka kupangisha kumbuka nilelewa kituo Cha watoto ya tima nilijepeleka mwenyewe.
Nitaludi........
Two wrong can’t make it right

Kama kweli unataka WATAMBUE kuwa walikosea sana na wajutie mioyoni mwao basi wasaidie kwa kadiri ya uwezo wako
Lakini kama fundisho pekee ulilopata kutoka kwao ni roho mbaya zao basi na wewe wafanyie ubaya ubwela
 
Back
Top Bottom