Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tujikumbushe majina ya mastaa hawa wote. Wahenga njooni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote waligeuzwa Chapati na Minjino Ronaldinho Gaucha Dada ManyweleeeeTujikumbushe majina ya mastaa hawa wote. Wahenga njooni...View attachment 1200906
Real Madrid walikuwa wabaguzi on this time mamaee
- casillas
- ........... (francisco pavon?)
- ronaldo
- thomas gravesen a.k.a para kutoka everton
- figo
- zidane
- walter samuel
- rafael salgado
- carlos roberto
- gonzalez raul
- beckham david
kwa kuwa alikosekana mchezaji mweusi?Real Madrid walikuwa wabaguzi on this time mamaee
Kimtokacho mtu ndio kimeujaza moyo wake...Wewe utakuwa mbaguzi sanaReal Madrid walikuwa wabaguzi on this time mamaee
Michel Salgado
- casillas
- ........... (francisco pavon?)
- ronaldo
- thomas gravesen a.k.a para kutoka everton
- figo
- zidane
- walter samuel
- rafael salgado
- carlos roberto
- gonzalez raul
- beckham david
wala hakuna goal line technologyAisee wakati huo hakuna VAR
Nabii na Mtume wa Mwisho kwenye SokaHao wote waligeuzwa Chapati na Minjino Ronaldinho Gaucha Dada Manyweleeee
Atakuwa anarejelea issue ya Claude Makelelekwa kuwa alikosekana mchezaji mweusi?
Hapo kwa Pavon sio kwamba ni Ivan Helguera?
- casillas
- ........... (francisco pavon?)
- ronaldo
- thomas gravesen a.k.a para kutoka everton
- figo
- zidane
- walter samuel
- rafael salgado
- carlos roberto
- gonzalez raul
- beckham david
[emoji819]Hapo kwa Pavon sio kwamba ni Ivan Helguera?
not rafael?Michel Salgado
nimemsahau uyo jamaa kumbe ni helguera mwenyewe?Hapo kwa Pavon sio kwamba ni Ivan Helguera?
Salute mkuu upo vizuri
- casillas
- ........... (francisco pavon?)
- ronaldo
- thomas gravesen a.k.a para kutoka everton
- figo
- zidane
- walter samuel
- rafael salgado
- carlos roberto
- gonzalez raul
- beckham david
Miguel (Michael)Michel Salgado
Hao wote waligeuzwa Chapati na Minjino Ronaldinho Gaucha Dada Manyweleeee