Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Pumba Express!!Punguza Ushamba. Wapi nimeandika kuwa nawajua wote ama najua zaidi? Nawafahamu hao niliowataja tu na kama mtu kakosea kuwataja nadhani ni wajibu kumuambia asipotoshe na kusahihisha, kosa liko wapi.
Comrade, kama kuna mtu anajua ni nani ana mabasi mengi kati ya Shabiby na Abood na wewe HUJUI, mpe sifa yake badala ya kulalama kuwa anataka sifa za Kijinga. Ndivyo watu wanavyojifunza, kuelimika na kupata UELEWA. Pole We.
...sidhani kama tunawajua kwa sura......
Madame X ume-generalize mno. Ungesema 'huwajui'.
Mie nawafahamu.
Kuna Sauda Simba, Rukia Mtingwa, Julius Nyaisanga, Marehemu John Ngahyoma, Suzane Mungy.
Pumba Express!!
and your point is....
......I love you!!
Me too, niko hoi
Hivi na wewe hujui kama siku hizi kuna Effect ya kuifanya picha itokee unavyotaka?
Hapo namuona uncle J, Suzan Mungi na marehemu John Ngahyoma R.I.P.