Unaweza Kuwatambua Hawa?

Unaweza Kuwatambua Hawa?

Punguza Ushamba. Wapi nimeandika kuwa nawajua wote ama najua zaidi? Nawafahamu hao niliowataja tu na kama mtu kakosea kuwataja nadhani ni wajibu kumuambia asipotoshe na kusahihisha, kosa liko wapi.

Comrade, kama kuna mtu anajua ni nani ana mabasi mengi kati ya Shabiby na Abood na wewe HUJUI, mpe sifa yake badala ya kulalama kuwa anataka sifa za Kijinga. Ndivyo watu wanavyojifunza, kuelimika na kupata UELEWA. Pole We.
Pumba Express!!
 
...sidhani kama tunawajua kwa sura......

Madame X ume-generalize mno. Ungesema 'huwajui'.
Mie nawafahamu.
Kuna Sauda Simba, Rukia Mtingwa, Julius Nyaisanga, Marehemu John Ngahyoma, Suzane Mungy.
 
Madame X ume-generalize mno. Ungesema 'huwajui'.
Mie nawafahamu.
Kuna Sauda Simba, Rukia Mtingwa, Julius Nyaisanga, Marehemu John Ngahyoma, Suzane Mungy.

mkuu samahani kidogo kuna wanawake wangapi hapo ktk picha????
 
Vipi na Misanya bingi mzee wa 'chipindi hichi...' aliishia wapi?
 
Vipi na Misanya bingi mzee wa 'chipindi hichi...' aliishia wapi?
 
Hivi na wewe hujui kama siku hizi kuna Effect ya kuifanya picha itokee unavyotaka?
Hapo namuona uncle J, Suzan Mungi na marehemu John Ngahyoma R.I.P.

Acha ubishi wewe watu wengine mkoje aisee
 
Back
Top Bottom