Unaweza kuwatendea wema watu kwa uwezo wako na kwa nafasi yako lakini wao wakakuchukia vibaya

Unaweza kuwatendea wema watu kwa uwezo wako na kwa nafasi yako lakini wao wakakuchukia vibaya

Joined
May 2, 2018
Posts
20
Reaction score
27
[emoji683] Unaweza kuwatendea wema watu kwa uwezo wako na kwa nafasi yako lakini wao wakakuchukia vibaya mno cha msingi usitegemee kutendewa wema nao, unaweza kuwapenda watu kwa nafasi zao lakini wao wakakuchukia pia kwa nafasi yako lakini hii haimaanishi kwamba unatakiwa kuchukia kila mtu. Yesu na Mtume wote walitenda mema kwa nafasi zao lakini bado walichukiwa, hiyo haikuwa sababu ya wao kusitisha kuendelea kutenda mema na kuwafundisha wengine ndio maana mpaka leo tunawakumbuka na kufuata mafundisho yao pia. Wewe vipi ? Kazi yao unaitumiaje ? Nafasi uliyonayo kazini unaitumiaje ? Hela ulizonazo unazitumiaje ? Maarifa uliyonayo unayatumiaje ? Kuna kujenga au kubomoa ?
 
Back
Top Bottom