Unaweza kuwaza nini kimeshawapata waliovujisha siri CRDB na kule kwingine

Kwa 99% Wataumizwa wasiohusika, waliofanya mishe wenyewe hawatajulikana milele.

Fahamu tu, kitu chochote kile cha siri kikiwa ndani ya taasisi sio siri tena kwa wana taasisi, kinaitwa siri kwa umma kwa misingi ya kisheria na kimaadili ya taaluma, taasisi na mikataba.
 
File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma.

Basi, yaliyokuta yamewastahili
Mmewaua nao?

Hakuna shida kama mumewaua. Tunachoomba tuyapate tu majina yao ili tuyaongeze kwenye orodha ya watu mnaowaua, kuwateka na kuwapoteza ili tuiwasilishe ICC
 
Nchi yangu ! Badala ya kudili na ubadhilifu mkubwa wa mali za umma, watu wanadili na aliyevujisha faili,,,, kana kwamba huo wizi/ubadhilifu sio kitu ila alievujisha pamoja na taasisi (crdb) ndio shida sio ,,,,,,

Aloo bado sana lakini kuna siku kutapambazuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…