Unaweza kuwaza nini kimeshawapata waliovujisha siri CRDB na kule kwingine

Unaweza kuwaza nini kimeshawapata waliovujisha siri CRDB na kule kwingine

Kama ni hivyo elewa hiyo ni trailer, picha kamili ipo njiani.
 
File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma.

Basi, yaliyokuta yamewastahili
Nyinyi wahuni mtaua, kutesa na kuwamaliza watu wangapi! Hamuoni utawala wenu umeshakataliwa na Mungu, na badala yake mnaishi kwa kutegemea majini ya Bakwata!
 
File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum...
Kwenye mazingira hayo halipelekwi file zima, ni copy au picha tu, kwa hiyo hakuna movement. Mtaonea wazalendo bure
 
Mmeshawamata kuwatesa na kuwamaliza?
Wameshawauwa Kwa sababu fedha anazolipwa huyo wambura ni Asante Kwa kuwaagiza vijana kumaliza Roho za watu Kwa maslahi ya Ccm na Watawala wake.
Ndio mana hata Hawa mbwa wanaotetea hapa hawaoni kama wanakiuka Ile kanuni ya transparency and accountability. Kwamba kiongozi wa umma lazima vyanzo vyake vya mapato viwe bayana Ili kuondoa rushwa. Kwamba hizo fedha zilipaswa kuhojiwa zimepatikanaje?
 
Tayari mmewaua?
Ni "No mercy" yaan jumba bovu linaweza kumwangukia mtu asiye husika.
Kwa yeyote alie husika ama kuto husika kitampata kilicho mtoa kanga manyoya shingoni.

Inauma Sana hayo yamkute mtu asiye kuhusu ni sawa hiyo inaitwa ""MAMA MKANYE MWANAO""
 
File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma.

Basi, yaliyokuta yamewastahili
Hatari sana
 
File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma.

Basi, yaliyokuta yamewastahili
Kifungu cha 12(2) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma kinaeleza:

"Kiongozi wa umma atakapopokea zawadi yenye thamani inayozidi shilingi elfu hamsini (Tsh 50,000), atatakiwa:

(a) kutangaza zawadi hiyo na thamani yake; na

(b) kuwasilisha taarifa ya zawadi hiyo kwa afisa masuhuli wa ofisi husika, ambaye atatoa maelekezo kwa maandishi kuhusu matumizi au uondoshaji wa zawadi hiyo."

Na pia Iko hivi :
Kifungu cha 9(1) cha Sheria hiyo kinasema wazi:

"Kiongozi wa umma hataruhusiwa kushiriki katika shughuli yoyote ya kiuchumi au biashara ambayo inaweza kuingilia utekelezaji wake wa kazi za umma bila kupata kibali maalum kutoka kwa mamlaka husika."



Na zaidi, kifungu cha 13(1) kinamtaka kiongozi wa umma:

"Kutoa tamko la mali, madeni, na maslahi binafsi (declaration of assets, liabilities and interests)" ndani ya siku 30 tangu kuteuliwa au kila mwaka, ikiwa ni pamoja na:

Mali zote anazomiliki (ardhi, majengo, magari, nk),

Madeni anayodai au anadaiwa,

Na vyanzo vingine vyote vya mapato, vya kudumu au vya muda mfupi.

Maana yake ni nini?

Kiongozi wa umma anatakiwa kueleza kwa maandishi na kwa uwazi kama anapata mapato mengine kupitia:

Biashara binafsi,

Kilimo,

Kodi za majengo au vyumba,

Hisa katika makampuni,

Ushauri au mihadhara inayolipiwa,

Misaada ya kifedha ya mara kwa mara kutoka taasisi au watu binafsi.

Haya yote ni lazima yajumuishwe kwenye tamko la kila mwaka la maadili, linalowasilishwa kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Swali ni je IGP ni kiongozi wa Umma?
Jibu ni ndiyo: Kwa mujibu wa Kifungu cha 4(1) cha Sheria hiyo:

"Kiongozi wa umma" ni mtu yeyote anayeshika wadhifa wa uongozi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, au anayeteuliwa, kuteuliwa upya au kuthibitishwa kushika nafasi ya uongozi katika utumishi wa umma au mashirika ya umma.



Jedwali la pili (Second Schedule) la Sheria hiyo linaorodhesha nafasi zinazotambuliwa rasmi kama uongozi wa umma – na linajumuisha:

Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,

Maofisa waandamizi wa serikali, na

Viongozi wote walioko kwenye orodha ya nyadhifa za juu serikalini.

Swali ni je alitamka kwamba atapata fedha kutoka katika njia hizo hapo juu na zikabainishwa na kuwa documented?
Kama siyo, unadhani kuwauwa walitoa taarifa ambazo zinaonesha kabisa hii ni rushwa ni njia sahihi ya kuongeza uwazi na uwajibikaji serikalini?
 
Back
Top Bottom