Unaweza kuwaza nini kimeshawapata waliovujisha siri CRDB na kule kwingine

Apostle kuna muujiza hapa.
Apostle: eeehhhheee
Muhudumu: Kuna mtu (ke) kakojoa vipande vya nyembe na kujisaidia haja kubwa ikiwa na bawaba kubwa za milango. Ni baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Picha hiyo hapo, alipiga baada ya kupata nafuu.
 
Wamefanya jambo zuri, ila wamekiuka confidentiality. Kwa upande wao, wamekiuka mkataba wa kazi zao

Kwa technolijia, lazima akamatwe kirahisi kwasababu system inajua ni nani ali log in kwenye hiyo account na kuvuta statement
 
Je kama statement imechukuliwa toka kwa Wambura mwenyewe
 
Hakuna siri ya watu 2 wala taasisi. Tunachotokea nikuwa watu wamekuchoka na wanaamua kukuumbuza kutokana na wewe waendelea kuwa against nao
 
File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma.

Basi, yaliyokuta yamewastahili
Watu msiojulikana naona taarifa zenu za wizi zimeweka wazi, sasa mnaanza kuwapoteza wazalendo wa kweli. Kila siku mnahubiri amani, kumbe lengo lenu ni kutia watu woga ili muendelee kuibia makondoo.
 
File movement katika ofisi za umma, hasa majalada ya siri, yanaenda kwa mtu mahsusi, na mpelekaji maalum. Pia CRDB mtu anayeingia katika akaunti mfumo unamsoma.

Basi, yaliyokuta yamewastahili
Mkuu Bwana Machemba! Kwani mmewafanyaje?
 
Je kama statement imechukuliwa toka kwa Wambura mwenyewe
Kuna namna pia ya kujua. Bank ukiomba statement sio kienyeji, lazima wataona kuna mahali pa kusaini.

Ikiwa pia labda yeye mwenyewe ndo kai download kupitia system, basi itajulikana.

Ki ufupi hapa lazima ijulikane tu aliye pull hiyo statement.
 
Apostle: eeehhhheee
Muhudumu: Kuna mtu (ke) kakojoa vipande vya nyembe na kujisaidia haja kubwa ikiwa na bawaba kubwa za milango. Ni baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Picha hiyo hapo, alipiga baada ya kupata nafuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Amen Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…