Unaweza tafsiri kwa lugha yenu ya asili?

A kiss kissed can be rekissed if the kisser and the kissee agree that the kiss kissed was not well kissed.
Busu lililobusiwa laweza kurudiwa kubusiwa iwapo mbusaji na mbusiwa watakubaliana kuwa lile busu la awali halikubusiwa vizuri.
NB:usikaze sana shingo kusoma. Mimi nafanya puruzai tu kana kwamba napata gahwa na kashata kijiweni.
 
Waliobusiana kama wakikubaliana kuwa busu halikuwa tamu basi wanaweza kurudia kubusiana.


Busu lililobusiwa linaweza kurudiwa tena iwapo kama waliobusiana watakubaliana kama busu walilobusiana halikuwa tamu.
Ahsante. Ya asili sasa kama unaifahamu lakini. Yeyote tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…