Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaUmeingiaaa chaka mkuuuu
Kule kwetu mbona tunatumia hiyo hiyoA kiss kissed can be rekissed if the kisser and the kissee agree that the kiss kissed was not well kissed.
Busu lililobusiwa laweza kurudiwa kubusiwa iwapo mbusaji na mbusiwa watakubaliana kuwa lile busu la awali halikubusiwa vizuri.A kiss kissed can be rekissed if the kisser and the kissee agree that the kiss kissed was not well kissed.
Ahsante. Ya asili sasa kama unaifahamu lakini. Yeyote tuWaliobusiana kama wakikubaliana kuwa busu halikuwa tamu basi wanaweza kurudia kubusiana.
Busu lililobusiwa linaweza kurudiwa tena iwapo kama waliobusiana watakubaliana kama busu walilobusiana halikuwa tamu.