Unaweza ukawa na mimba huku unapata siku zako?

Unaweza ukawa na mimba huku unapata siku zako?

Usikwepe majukumu father kijacho,wkt unamkatikia mauno huyo binti ulitegemea nin mfano?
 
Habari wadau naomba mnijuze,

Hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi?

Au changa la macho?


hiyo kitaalam tunaita implantation bleeding ambayo hutokea week ya tatu toka upate ujauzito soo ni kawaida kutokwa na damu kwa mama mjamzito ila hali ikiiendelea zaidi ya wiki ya tatu basi kuna tatizo nenda hospital
 
Back
Top Bottom