tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 Dec 16, 2015 #21 Usikwepe majukumu father kijacho,wkt unamkatikia mauno huyo binti ulitegemea nin mfano?
R ranjan JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 338 Reaction score 288 Dec 16, 2015 Thread starter #22 tang'ana said: Usikwepe majukumu father kijacho,wkt unamkatikia mauno huyo binti ulitegemea nin mfano? Click to expand... Wakati mwingne ni vizuri kukaa kimya kama huna ushauri
tang'ana said: Usikwepe majukumu father kijacho,wkt unamkatikia mauno huyo binti ulitegemea nin mfano? Click to expand... Wakati mwingne ni vizuri kukaa kimya kama huna ushauri
rais wako JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 605 Reaction score 513 Dec 30, 2015 #23 ranjan said: Habari wadau naomba mnijuze, Hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi? Au changa la macho? Click to expand... hiyo kitaalam tunaita implantation bleeding ambayo hutokea week ya tatu toka upate ujauzito soo ni kawaida kutokwa na damu kwa mama mjamzito ila hali ikiiendelea zaidi ya wiki ya tatu basi kuna tatizo nenda hospital
ranjan said: Habari wadau naomba mnijuze, Hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi? Au changa la macho? Click to expand... hiyo kitaalam tunaita implantation bleeding ambayo hutokea week ya tatu toka upate ujauzito soo ni kawaida kutokwa na damu kwa mama mjamzito ila hali ikiiendelea zaidi ya wiki ya tatu basi kuna tatizo nenda hospital