aahh kwa hiyo mi nakua ndoo au kidumu ?Ukienda kisimani beba ndoo na kidumu, ndoo ikianguka unapata maji kwenye kidumu hata ya kujiosha miguu.
Nnavokupenda we ni simtank....aahh kwa hiyo mi nakua ndoo au kidumu ?
kwa hiyo utakuwa unaniacha nyumbani kila siku ?Nnavokupenda we ni simtank....
Nakujaza....πkwa hiyo utakuwa unaniacha nyumbani kila siku ?
nakuwa kapeto sasaNakujaza....π