Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Mahusiano ni kama sanaa kuna wakati mahusiano yanaweza kukupa stress na msongo wa mawazo kiasi kwamba ukajutia kwanini umeingia katika mahusiano huyo mwanamke au mwanaume maana kuna time unaona kabisa what you Give is diffrent from what you receive hali hukupelekea kuwa na stress na mambo mengine.
Hebu Leo hii tupeane mbinu za kuepuka stress na msongo wa mawazo
Hebu Leo hii tupeane mbinu za kuepuka stress na msongo wa mawazo