mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Soski zipo si haba idadi inatosha lakini cha ajabu mara nyingi hazipatikani ninapozihitaji yani nitaishia kupekua huku na kule mwisho naona isiwe taabu naamua kuvaa zozote zilizo hapo jirani ambazo mara nyingi unakuta nilizivaa jana au juzi au siku chache zilizopita.
Kwa maana ingine mara nyingi naishia kuvaa soksi zilezile mara kwa mara. au s'tyms nalazimika kuchanganya soksi nje ya pea mfano nimetafuta nimekosa lakini kuna nilizovaa hivi karibuni lakini unakuta moja ni nyeusi tii na ingine ya weusi usiokolea nazichanganya nasepa zangu. thanx wanaume tunavaa suruali zinafunika adi soski vinginevo ingekuwa balaa sana.
Je wewe unawezaje kuhifadhi soksi na kuzipata kwa uharaka unapozihitaji? au nawewe ni walewale kama mimi tu🤣🤣🤣