Unawezaje kuishi bila kuyumbishwa kifikra na kiakili na mambo ya humu duniani?

Unawezaje kuishi bila kuyumbishwa kifikra na kiakili na mambo ya humu duniani?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Wewe upo kwenye kundi la wale wenye stress? Au upo kwenye kundi ambalo ni solid kiakili?

Unajisikiaje unagusa 30's maisha yako hayaeleweki? Ukiangalia kesho uoni mwanga kabisa, lakini ukigeuka utasikia kwenye ukoo wako/familia/marafiki kuna mmoja anasema anaweza kujenga nyumba kwa miezi miwili na ikaisha wakati wewe hata simu ya mkononi huna?

Unajisikiaje hujaoa/kuolewa lakini wanaokuzunguka wote wameoa na kuolewa, dunia inadissapoint sana lakini wewe unatumia njia gani? Kutokujali? Wewe ni kundi la mtu solid asiyekuwa na wivu au asiyetafakarishwa na maendeleo ya mtu mwingine? Au wewe ni victim wa kila kinachotokea?
 
Weka hili akilini mwako, kila kitu duniani wakiwemo watu,wanyama etc ni mazingira kiumbe wa kweli ni wewe tu.
 
Jaribu kukubali tu, kuwa kuna baadhi ya vitu huna, kuanzia hapo Jijenge wewe binafsi, usitarajie jambo lolote kutoka kwa kitu kinachoitwa binaadam bila jubudi zako, hivyo wewe mwenyewe ndiyo mwenye usukani wa maisha yako, katika furaha, upendo, ushirikiano, utajiri, umaarufu,afya, elimu,siasa, dini na kupenya katika mambo yote wewe ndiye unaesababisha hakuna mwingine, ridhika na ulivyo hakuna kama wewe.
 
Wewe upo kwenye kundi la wale wenye stress? Au upo kwenye kundi ambalo ni solid kiakili?

Unajisikiaje unagusa 30's maisha yako hayaeleweki? Ukiangalia kesho uoni mwanga kabisa, lakini ukigeuka utasikia kwenye ukoo wako/familia/marafiki kuna mmoja anasema anaweza kujenga nyumba kwa miezi miwili na ikaisha wakati wewe hata simu ya mkononi huna?

Unajisikiaje hujaoa/kuolewa lakini wanaokuzunguka wote wameoa na kuolewa, dunia inadissapoint sana lakini wewe unatumia njia gani? Kutokujali? Wewe ni kundi la mtu solid asiyekuwa na wivu au asiyetafakarishwa na maendeleo ya mtu mwingine? Au wewe ni victim wa kila kinachotokea?
Nina hirizi ya simba ntakupa bure
 
Inawezekanaje mtu anazaliwa akiwa ivyo?
Mimi nilisoma sana somo la kutotetereka katika naisha kwenye Buddhism.

Kuanzia hapo Buddhism Temple and Meditation Center Dar es salaam, mpaka kwwnye vitabu vya Buddhism.

Yani ukipata mafanikio sana, yasikutoe katika mstari, ukisifiwa usilewe sifa, ukifulia sana, ukatukanwa, uweze kubaki katika mstafi, usihamanike kwa kutukanwa.

Uwe katika kitu kwenye Kiingereza kinaitwa equanimity.

Question:

What is equanimity called in Buddhism?

From Meta AI.

In Buddhism it is called Upekkhā in Pali, Upekṣā in Sanskrit.

It's the 4th of the Four Brahmavihāras (the Four Divine Abodes), alongside:
1. Mettā - loving-kindness
2. Karuṇā - compassion
3. Muditā - sympathetic joy
4. Upekkhā - equanimity

It's also one of the Seven Factors of Enlightenment, and the quality that perfects the ten Pāramīs (perfections).

It doesn't mean indifference — it means a steady, even mind that stays balanced whether experiencing gain or loss, praise or blame, pleasure or pain. Like a solid mountain unaffected by wind.

Question.

How does one maintain Upekkha?

Meta AI

Upekkha is not something you force — you cultivate the conditions for it, and it appears.

The classic training is very practical:

1. See the big picture: Anicca, Dukkha, Anatta
Equanimity breaks when we think things should be permanent. The Buddha said to train yourself to see:
  • This will change (anicca)
  • Clinging to it changing will create suffering (dukkha)
  • This is not mine to control (anatta)

When praise comes, you note: "this will pass." When blame comes, same note: "this will pass."

2. The daily practice: The Eight Worldly Winds
There is a short reflection monks do morning and evening, on the Attha Loka Dhamma:

Gain and loss, fame and obscurity, praise and blame, pleasure and pain — these come to all.

Just naming them as they arise — "Ah, gain. Ah, blame." — stops you from being swept away.

3. Formal meditation for Upekkha
There are two classic methods:

a) Brahmavihara meditation: Sit and after metta, karuna, mudita, you move to upekkha with phrases like:
  • "All beings are owners of their karma, their happiness and unhappiness depend on their actions"
  • "May I remain equanimous amidst changing circumstances"
  • You extend it to loved ones, neutral people, difficult people.

b) Vedana observation: In Vipassana, you watch sensation without reacting. A pleasant sensation arises, you don't cling. An unpleasant one arises, you don't push away. You train the mind: sensation is there, but the second arrow of reaction is optional.

4. In daily life — the 3-second pause
Upekkha is lost in reaction. The practice is:
1. Something happens
2. Pause. Feel the pull to react in the body.
3. Ask: "Can I let this be as it is, for now?"

The Pali texts call this tatramajjhattatā — standing in the middle.

A trick from Ajahn Chah: When you are very happy, he would say "this is uncertain." When you are very sad, same phrase: "this is uncertain." It brings you back to the middle.

It's not coldness. True upekkha is warm — you care deeply, but you don't lose your balance.

Are you wanting this more for meditation, or for staying steady in difficult situations in life? The emphasis is a little different.

Me.

For staying steady in difficult situations in life

Meta AI

For life — not just on the cushion — Upekkha is a muscle. Here is how people actually train it when things are hard:

1. Separate the event from the second arrow

Buddhism talks about two arrows. First arrow: life hits you — job loss, argument, illness. That's unavoidable. Second arrow: what you add — "this shouldn't be happening," "I can't handle this," replaying it 100 times.

Practice: When difficulty hits, literally say in your mind:
"First arrow. Second arrow, not yet."

You only have to handle the first one.

2. The 90-second rule

Emotion in the body lasts about 90 seconds if you don't feed it with stories. The steady-ness comes from letting that wave pass without acting.

Try: R-A-I-N — a method taught by many teachers:

  • *R*ecognize: "Anger is here" / "Fear is here"
  • *A*llow: "It's allowed to be here"
  • *I*nvestigate in the body: Where is it? Tight chest? Stomach?
  • *N*on-identification: "This is not who I am, this is visiting"

Breathe with it. Don't fix it. It will move.

3. Stop demanding a different present

Most loss of equanimity comes from this silent sentence: "This moment should not be like this."

Replace it with a truer one: "This is how it is right now. Can I work with it as it is?"

That is not resignation. It's where clear action starts.

4. The Karma reflection — without becoming cold

When someone is hurting you, or a situation feels unjust:
"This person is acting from their own pain and conditioning. I don't have to accept their action, but I can see their suffering."

You can still set a firm boundary, say no, leave — equanimity doesn't mean you become a doormat. It means you do it without hatred burning you.

5. A daily 3-minute practice that builds it over time

Every evening, ask three questions:
1. What went well today that I didn't control? (Trains non-clinging to gain)
2. What was difficult that I didn't control? (Trains non-resistance to loss)
3. What one thing can I let be unresolved tonight?

Writing this for 2 weeks changes your baseline — you stop gripping so hard.

---

A small mantra many people keep in their pocket, from the Buddha:

"This, too, will pass. And I can be steady while it passes."

If you want, tell me what kind of difficult situation you are facing most right now — conflict, uncertainty, loss, overwhelm? I can make it more specific to that, without you needing to share more than you want to.
 
Back
Top Bottom