Unawezaje kuishi na mtu mtata mwenye gubu mjuzi wa kila kitu mbishi wala haambiliki?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
725
Reaction score
1,282
Wakuu tumegeane maujuzi hapa maana mara nyingi unakuta watu hawa wana wenzi wao au inakuwa ni geresha tu ya kuwababaisha walimwengu huku nje lakin huko ndani wanalala vitanda tofauti?
 
Watu wa aina hio ishi nao kwa kutimiza majukumu yako ya kazi no mazoea just salam then kimya ongea pale panapo stahili pasipo kaa kimya very easy.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Observe total silence or talk less and never argue with the person
Hii comment yako Umefunga mjadala 😊

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Wakuu tumegeane maujuzi hapa maana mara nyingi unakuta watu hawa wana wenzi wao au inakuwa ni geresha tu ya kuwababaisha walimwengu huku nje lakin huko ndani wanalala vitanda tofauti?
Mkuu kila mtu ni mtata bt ubinafsi hutufanya tusiuone udhaifu wetu.

Njia rahisi ya kuishi na watu ni kuishi nao kama walivyo, na sio kama unavyotaka wawe coz hata wewe huwezi kua kama walivyo wao.
 
Back
Top Bottom