kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Mkuu Ili kupata ushauri ni lazima kuanika na umri?Una umri gani tafadhali.
Ukiwa naye mtaani Piga kelele kwamba anataka kukutekaWakuu hivi ni nini kinatakiwa kufanyika pale unapojikuta tayari umedate na mwanamke au mwanaume Mwenye GUNDU,NUKSI,MIKOSI?
Nitolee mfano mfano umedate na mwanaume x au mwanamke x na ghafla kesho yake unaanza kuona mambo Yako yanaanza kwenda ndivyo sivyo, vitu haviendi kama mwanzo, je ni njia ipi ya kujinasua je ni kuvunja hayo mahusiano fasta? Itasaidia? Au kurudi kwenye maswala ya kiimani Kwa watu wa dini na Imani zingine?
Naombeni ushauri na maoni yenu wakuu!
Kimbilia baharini tu ukiwa na kidumu cha lita 5 hio ndio ponapona yakomfano umedate na mwanaume x au mwanamke x na ghafla kesho yake unaanza kuona mambo Yako yanaanza kwenda ndivyo sivyo, vitu haviendi kama mwanzo, je ni njia ipi ya kujinasua je ni kuvunja hayo mahusiano fasta? Itasaidia? Au kurudi kwenye maswala ya kiimani Kwa watu wa dini na Imani zingine?
Naombeni ushauri na maoni yenu wakuu!
Kumbe atakuwa ndo wale wasijulikana ehee?😂😂Ukiwa naye mtaani Piga kelele kwamba anataka kukuteka
Mimi sjuiKumbe atakuwa ndo wale wasijulikana ehee?😂😂
Hata kama umefunga pingu za maisha?Vunja hayo mahusiano.
Asante Kwa ushauri je hiyo chumvi natumiaje mkuu?Tumia chumvi ya mawe mkuu au kaombewe
Ogea na yeye aogeeAsante Kwa ushauri je hiyo chumvi natumiaje mkuu?
Nikishafika baharini nafanyaje sasa na hicho kidumu?Kimbilia baharini tu ukiwa na kidumu cha lita 5 hio ndio ponapona yako
Nikifanya hivyo Hali itarejea kama kawaida?Acha kila kitu uanze upya.
Aende Back to square one