Unawezaje kujinasua kwa mtu Mwenye balaa, mikosi?

Kula kona, kuna binti nina mda nafahamiana nae na nilituma maombi akawa neutral. Na bora hakukubali direct japo dalili zote zinaonesha ashajaa kwenye mfumo ila kuna mambo nimeyaona kwenye maisha yake nimeamua tu abaki kuwa na ukaribu nami ila sio wa kimapenzi.

Ni binti mzuri ila ana matatizo mengi mno hasa kiafya nisijemuongezea mzigo dipresheni ikamzidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…