Unawezaje Kujua Gari yako Inaingiza lita ngapi Ikiwa Full Tank?

Unawezaje Kujua Gari yako Inaingiza lita ngapi Ikiwa Full Tank?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,162
Reaction score
2,616
Wakuu heshima kwenu.

Well, kama mada inavyojieleza wakuu kama una gari may be umenunua show room au mkononi kwa mtu utajuaje kuwa Inaingiza lita ngapi pale utapokuwa umejaza full tank?

Nawasilisha.
 
Simple Sana! Fungua tank kwenye koki ya chini mwaga mafuta yote yaliyomo ndani, yapime kwa kipimo Cha Lita, arafu funga koki rudishia Yale mafuta yaliyokuwemo washa Gari nenda sheli jaza mpaka mdomoni, Jibu utalipata...
 
Hakuna njia nyingine ya kujua kiutalaam zaidi ukiacha hiyo ya mpaka gari ikuzimikie kiongozi...?
Jaza mafuta full tank kisha piga misele kama kilometa 20 hivi kisha ingia tena sheli ujaze mpaka iwe full tank.

Mafuta yatakayoingia mara ya pili ili kufika full tank ndio yanalika kwenye hizo kilometa 20 ulizotembea
 
Hahahahahah gari ukitaka ikuzimie endeshea mtaani ndio itakuzimikia vizuri!

Sitosahau gari ilinizimia jangwani pale dah highway mzee ilibidi niweke triangle gauge ilizinguaga!

Hahahaha huo muda ni muda ambao kichwa huwa kinapata wakati mgumu kupita maelezo aisee...!
 
Back
Top Bottom