Hakikisha mtoto amekula na kushiba ndio muhimu kuliko yote.Habari...
Wale mlio oa wanawake wanao fanya kazi za shift za usiku tuambieni mnawezaje kulala na mtoto mdogo mpaka asubuhi mama yake anapo kua katika shift ya usiku kazini kwa kuzingatia mtoto wako ni yule anae lia sana nyakati za usiku.?
Nawasilisha..
Ahsante kwa kuniuza rafikinasoma comments
kukuuzaje tena rafiki yangu 🤨Ahsante kwa kuniuza rafiki
Sijaona nambakukuuzaje tena rafiki yangu 🤨
oooh, kua na amaniSijaona namba
Aisee 🤐oooh, kua na amani
Mzoeshe kulala kwenye chumba peke yake,akizidi kulialia sana mpuuzie atanyamaza.Ikishindikana kabisa tengeneza mazingira awe anamlilia mama yake wewe deal na mambo mengine.Wangu alikuwa analia usiku kelele kama AKA47 nabembeleza ananyamaza,nikirudi kulala analianzisha nikaamua kuwa nampuuzia tu akaacha.
Hivi unaanzaje kumpuuzia mtoto akiwa analia??? Kuna muda analia kwa uchungu mpk wewe mtu mzima unahisi maumivu rohoniMzoeshe kulala kwenye chumba peke yake,akizidi kulialia sana mpuuzie atanyamaza.Ikishindikana kabisa tengeneza mazingira awe anamlilia mama yake wewe deal na mambo mengine.Wangu alikuwa analia usiku kelele kama AKA47 nabembeleza ananyamaza,nikirudi kulala analianzisha nikaamua kuwa nampuuzia tu akaacha.
Na unajisifia kabisa huoni hta aibuMzoeshe kulala kwenye chumba peke yake,akizidi kulialia sana mpuuzie atanyamaza.Ikishindikana kabisa tengeneza mazingira awe anamlilia mama yake wewe deal na mambo mengine.Wangu alikuwa analia usiku kelele kama AKA47 nabembeleza ananyamaza,nikirudi kulala analianzisha nikaamua kuwa nampuuzia tu akaacha.