AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
KUNA WAKATI WANAUME TUWE NA MSIMAMO...MWANAMKE ACHAGUE KULEA MTOTO WAKE MPAKA AKOMAE AU KAZI..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzoeshe kulala kwenye chumba peke yake,akizidi kulialia sana mpuuzie atanyamaza.Ikishindikana kabisa tengeneza mazingira awe anamlilia mama yake wewe deal na mambo mengine.Wangu alikuwa analia usiku kelele kama AKA47 nabembeleza ananyamaza,nikirudi kulala analianzisha nikaamua kuwa nampuuzia tu akaacha.
Unachotakiwa kujua ni kwamba mtoto akiwa mdgo huwa anapenda kukumbatia au kuwa karibu na mzazi Ili ajisikie yupo salama na hapo anaeza acha kulia ko wee unachotakiwa kufny ni kuhakikiasha unakuw nae karbu na ahisi uwepo wako na joto lako pia na mama ake kabla hajaondk ahakikishe mtoto ameshiba vizuri na kama unaeza mnunulie pacifier Ili imzubaishe pia
Tatizo unakuta kipato chako pekeako hakitoshiKUNA WAKATI WANAUME TUWE NA MSIMAMO...MWANAMKE ACHAGUE KULEA MTOTO WAKE MPAKA AKOMAE AU KAZI..?
Daah wahuni sio watuWanaume mbinu tunatoa wapi? We Ukikuta kalala mchana muamshe msumbue sana yaan jion ikiwezekana toka nae zunguka nae mtaa kwa mtaa hakikisha halali kabla ya saa 5 ukimlaza hapo anakua hoi akishtuka kumekucha unamuachia msala mama yake
Cha muhimu zaidi mtoto ni kushiba na asivimbiwe, maziwa ya chupa yawepo jirani na hakikisha unajua anapenda kulala kwa style gani! Mlaze hivyo anavyotaka ingawa watoto wengi husumbua sana wanapotala kulala yaani ana usingizi halafu bado analia. Hapo muwekee chuchu ya chupa yake huku unatembea tembea ndani usimbembeleze ukiwa umekaaa. Wanataka movementHabari...
Wale mlio oa wanawake wanao fanya kazi za shift za usiku tuambieni mnawezaje kulala na mtoto mdogo mpaka asubuhi mama yake anapo kua katika shift ya usiku kazini kwa kuzingatia mtoto wako ni yule anayelia sana nyakati za usiku?
Nawasilisha..
Madhara ya hili utayaona tu baadae mkuu! 😀😀😀jiandae tu kisaikoljiaMzoeshe kulala kwenye chumba peke yake,akizidi kulialia sana mpuuzie atanyamaza.Ikishindikana kabisa tengeneza mazingira awe anamlilia mama yake wewe deal na mambo mengine.Wangu alikuwa analia usiku kelele kama AKA47 nabembeleza ananyamaza,nikirudi kulala analianzisha nikaamua kuwa nampuuzia tu akaacha.
Na ukizoea tabia ya kumbembeleza kila anapolia bila sababu za msingi inakuwaje?Mtoto ukimzoesha tabia ya kulia hadi anyamaze mwenyewe akikua mkubwa anapata tatizo la Hasira yaani anakuwa short-tempered.
[emoji122]Wasikushangae bwana. Ukweli watoto wanapendaga attention na ukiwapa atakayekuja kuumia ni wewe. Mtoto wangu wa kwanza ilikua hivyo akilia kidogo nimeshamkimbilia wakubwa wakanikataza nikaona hawampendi mwanangu.
Alinisumbua sana sana nilikoma. Waliofuata sikurudia kama amekula vizuri, hana homa anajiliza bila sababu alie tu. Na wao na udogo wao wanajua kucheza na saikolojia za wazazi.
Mkubwa wao mpaka leo na ukubwa wake anapenda kulia lia tu
No big no,mtoto akishajitambua ndo anaweza kulala mwenyewe,miaka miwili miezi sita unakazi gani mpaka umlaze mwenyewe?Mtoto akiwa na miezi sita lazima aanze kuzoea kulala peke yake.
Ila mtoto mchana anasumbua sana usiku silali bila kupiga maji yangu maana ni shida kweli ndio kwanza ana mwezi mmoja
Habari...
Wale mlio oa wanawake wanao fanya kazi za shift za usiku tuambieni mnawezaje kulala na mtoto mdogo mpaka asubuhi mama yake anapo kua katika shift ya usiku kazini kwa kuzingatia mtoto wako ni yule anayelia sana nyakati za usiku?
Nawasilisha..
Na utajuaje kama mtoto ameshiba?
Ananyonya kila baada ya nusu saa aisee aiwe mchana au usikuAnashiba vizuri?
😂😂😂😂😂😂😂Wanaume mbinu tunatoa wapi? We Ukikuta kalala mchana muamshe msumbue sana yaan jion ikiwezekana toka nae zunguka nae mtaa kwa mtaa hakikisha halali kabla ya saa 5 ukimlaza hapo anakua hoi akishtuka kumekucha unamuachia msala mama yake