Mkuu.... serikali haikusaidii kulea, bali inakuwajibisha unapo kiuka utaratibu kwa mujibu wa sheria na unapo mnyanyasa mtoto wako.Ningekuwa sijui kulea Serikali ingeninyanganya watoto.
Sawa mkuu.Mkuu.... serikali haikusaidii kulea, bali inakuwajibisha unapo kiuka utaratibu kwa mujibu wa sheria na unapo mnyanyasa mtoto wako.
Sasa na wewe unamuachaje mtoto alale mwenyewe yaani huo usingizi unaupataje?acha roho ngumuTabia za mtoto zinasomeka,kuna kulia kwa kuumwa na kulia kwa kutaka attention tu,analia akisikia umefungua mlango anapunguza kilio taratibu ananyamaza,ukirudi zako kulala analia ni ugonjwa gani huo?
Mtoto akiwa na miezi sita lazima aanze kuzoea kulala peke yake.Sasa na wewe unamuachaje mtoto alale mwenyewe yaani huo usingizi unaupataje?acha roho ngumu
Mbinu Kali Sana vitani tunasema 4 by 2 ambush [emoji16]Wanaume mbinu tunatoa wapi? We Ukikuta kalala mchana muamshe msumbue sana yaan jion ikiwezekana toka nae zunguka nae mtaa kwa mtaa hakikisha halali kabla ya saa 5 ukimlaza hapo anakua hoi akishtuka kumekucha unamuachia msala mama yake
Wasikushangae bwana. Ukweli watoto wanapendaga attention na ukiwapa atakayekuja kuumia ni wewe. Mtoto wangu wa kwanza ilikua hivyo akilia kidogo nimeshamkimbilia wakubwa wakanikataza nikaona hawampendi mwanangu.Tatizo mnaongozwa na hisia ni kama mtoto kulia ni kitu cha ajabu sana.Mtoto anatakiwa awe na kitanda chake azoeee hata alie azoee kitanda au chumba chake,akizoea mikono sana au attention ni vigumu sana hata kwa msichana wa kazi kudeal naye.
Mtu mwenye utimamu wa akili hawezi lala.Sasa na wewe unamuachaje mtoto alale mwenyewe yaani huo usingizi unaupataje?acha roho ngumu
Yaani nimesoma comment zao nimechoka hoi,kiukwel wanaume wengi siyo walez hawafai kumuachia mtoto unaweza kujuta 🙆🙆🙆........umeona eenh, Kwa mujibu wa komenti sisi wanaume wengi sio wa wakutuachia watoto wadogo, 😊 kuna mwamba anasema mtoto asumbuliwe tu hadi saa Tano usiku ili alale hoi, mwingine anadai mtoto akilia achana nae fanya mambo yako, so finally mwingine atasema akilia usiku kata makofi!!......
Asante kwa kunielewa.Wasikushangae bwana. Ukweli watoto wanapendaga attention na ukiwapa atakayekuja kuumia ni wewe. Mtoto wangu wa kwanza ilikua hivyo akilia kidogo nimeshamkimbilia wakubwa wakanikataza nikaona hawampendi mwanangu.
Alinisumbua sana sana nilikoma. Waliofuata sikurudia kama amekula vizuri, hana homa anajiliza bila sababu alie tu. Na wao na udogo wao wanajua kucheza na saikolojia za wazazi.
Mkubwa wao mpaka leo na ukubwa wake anapenda kulia lia tu
Shauri zao.Nimechukuliwa kama sijitambui na baadhi ya wazazi humu.
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Itoshe tu kusema kwamba... unajua kuzaa lakini haujui kulea...[emoji4]
Si atakuwa amekula ameshiba eboo, swali gani hilo. Mtoto anakula kwanza ndipo ashibe, hashibi tu bila kula, so unamlisha hadi ashibe then utaona kashiba hapo jua ameshashiba.Na utajuaje kama mtoto ameshiba?
Haya ndio maneno. Hivi vitoto vya siku hizi vina mambo ya kifala sana ukiwa na hasira unaweza kalamba makofi.Wanaume mbinu tunatoa wapi? We Ukikuta kalala mchana muamshe msumbue sana yaan jion ikiwezekana toka nae zunguka nae mtaa kwa mtaa hakikisha halali kabla ya saa 5 ukimlaza hapo anakua hoi akishtuka kumekucha unamuachia msala mama yake
Mtoto ukimzoesha tabia ya kulia hadi anyamaze mwenyewe akikua mkubwa anapata tatizo la Hasira yaani anakuwa short-tempered.Mzoeshe kulala kwenye chumba peke yake,akizidi kulialia sana mpuuzie atanyamaza.Ikishindikana kabisa tengeneza mazingira awe anamlilia mama yake wewe deal na mambo mengine.Wangu alikuwa analia usiku kelele kama AKA47 nabembeleza ananyamaza,nikirudi kulala analianzisha nikaamua kuwa nampuuzia tu akaacha.
Very true watoto kulia ni aidha anaumwa au unamkosea namna unavyomhandleWakati mwingine unakuta mtoto anaumwe. Usiwe unampuuzia
Tena hawa wasiku hizi wanatabia ya kulia kwasababu za kipumbavu sana. Kuna hili toto la ndugu yangu limeachia shuzi halafu watu wanacheka yeye anaanza kulia kama sio sio upuuzi ni nini nilitamani kumchapa yule bwege. Na ni mdogo ana mwaka na mwezi hivi.Wasikushangae bwana. Ukweli watoto wanapendaga attention na ukiwapa atakayekuja kuumia ni wewe. Mtoto wangu wa kwanza ilikua hivyo akilia kidogo nimeshamkimbilia wakubwa wakanikataza nikaona hawampendi mwanangu.
Alinisumbua sana sana nilikoma. Waliofuata sikurudia kama amekula vizuri, hana homa anajiliza bila sababu alie tu. Na wao na udogo wao wanajua kucheza na saikolojia za wazazi.
Mkubwa wao mpaka leo na ukubwa wake anapenda kulia lia tu
Zaa utajuaNa utajuaje kama mtoto ameshiba?