[emoji38][emoji38][emoji38]Aisee! Huu ushauri wako utamfanya mtoto ajione yeye kwako ni sawa na paka wa jirani!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Fimbo Tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]Aisee! Huu ushauri wako utamfanya mtoto ajione yeye kwako ni sawa na paka wa jirani!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Nilisoma comment ya huko juu pale uliposema alikataa uniform fulani kwa madai kuna watoto wanamcheka na wewe ukamuuliza "walikucheka kabisa wewe?"Unajua mkuu mwaka na miez kadhaa nyuma nilipoanza ishi naye, nilikuwa mkali sana kwake nikawa namchapa sana nilikuwa naona anazingua plus nilikuwa na mastress yangu basi alikula kichapo sana. Akawa hawezi kaa na mimi nikikaa sebuleni anahamia chumbani nikimfuata chumbani anarudi sebuleni.
Later on nikaja realize nakosea na ni kitu kinaniuma hadi leo kila nikifkiria. Si kwamba namdekeza, hata sasa nikikasrika anajua kuwa anaweza shushiwa kipigo ila nimepunguza kummpiga hata akikosea na prefer kuongea naye kuliko kumpga au kumpa adhabu asifanye vitu anavyopenda. Actually mimi na yeye ni marafiki, vitu vingi anavyofanya uwa kwa namna moja ama nyngine nashiriki kumweka karibu nami. Sema hilo la confidence ni zero. Shule anafanya vizuri ila kujshtukia yani ni kama mwizi.
Nasgukuru umefahamu wewe ndo chanzo cha mwanao kua hvyo,jitajidi kumpongeza mara kwa mara na kumhamasisha afanye mambo vizuri lwa zawadi na maneno ya faraja.Japo itachukua muda but taratibu ataanza kufaham unamjali,unamuamini na unafarijika sana ukiwa karibu nae na yeye hataendelea kujishtukia ovyo.Unajua mkuu mwaka na miez kadhaa nyuma nilipoanza ishi naye, nilikuwa mkali sana kwake nikawa namchapa sana nilikuwa naona anazingua plus nilikuwa na mastress yangu basi alikula kichapo sana. Akawa hawezi kaa na mimi nikikaa sebuleni anahamia chumbani nikimfuata chumbani anarudi sebuleni.
Later on nikaja realize nakosea na ni kitu kinaniuma hadi leo kila nikifkiria. Si kwamba namdekeza, hata sasa nikikasrika anajua kuwa anaweza shushiwa kipigo ila nimepunguza kummpiga hata akikosea na prefer kuongea naye kuliko kumpga au kumpa adhabu asifanye vitu anavyopenda. Actually mimi na yeye ni marafiki, vitu vingi anavyofanya uwa kwa namna moja ama nyngine nashiriki kumweka karibu nami. Sema hilo la confidence ni zero. Shule anafanya vizuri ila kujshtukia yani ni kama mwizi.
Well said mkuu,hyo ni moja kati ya side effect ya child abuse especially physical abuse sema ameshatambua kua alikua amekosea na anajaribu kurekebishaNilisoma comment ya huko juu pale uliposema alikataa uniform fulani kwa madai kuna watoto wanamcheka na wewe ukamuuliza "walikucheka kabisa wewe?"
Nikajua kuna kitu hakipo sawa kwako,
Nashuka chini nakutana na hii tena, nasikitika kusema kua umemuharibu mtoto wako, wewe ndie umemuondolea confidence, hawezi kua sawa na wewe na lord forbid hata huko mbeleni unless ufanye efforts kubwa sana kumtoa kwenye ile trauma ya vipigo ulivyokua unampa mtoto wa miaka minne, (Shame on you) eti stress haya hizo stress zako zikapelekea uwe unampiga mtoto mdogo ndio zimezaa hayo matunda,
Mtoto wa miaka minne anakukimbia ukikaa sitting room anaenda bedroom ukimfata bedroom anarudi sitting room, very sad.
Unasema kabisa "anajishtukia sana, ananikeera", mtoto wa miaka mitano unataka awe na confidence ipi? Ya kutongoza? Shule anafanya vizuri, watoto wenzie anacheza nao vizuri unataka afanye kipi cha zaidi? Mtoto anapitia bullying kutoka kwa watoto wenzie wanaomcheka kuhusu uniform wewe humuamini halafu unataka awe na confidence ya kufanya kitu gani?
Ulipaswa ushughulikiwe ipasavyo, unavyoendelea kukaa na huyo mtoto atakuja kupata chronic traumatic.
Bado hajatambua wala bado hajarekebisha, kitendo cha kuleta uzi hapa kumlaumu mtoto wa miaka mitano kua hajiamini ni wazi kabisa bado hajatambua kama yeye ni tatizo.Well said mkuu,hyo ni moja kati ya side effect ya child abuse especially physical abuse sema ameshatambua kua alikua amekosea na anajaribu kurekebisha
Natamani ungejua transformation aliyopotia kwa kipindi nilichokaa nacho... anyway hata huko kumpiga ni kwa muda mfupi tu kama wa weeke mbili hivi na naongelea mambo ya mwaka na miezi nane iliyopita. Usidhani niko hostile naye kama ulivyo imagine mkuu niliacha na wala si kwamba nilikuwa nampiga kwasababu nilikuwa na mnyanyasa. Na kunikimbia nadhani ilichangiwa zaidi na kuwa stranger kwake. Hakuwahi kuniona toka ana mieizi 9 halafu ghafla ana miaka minne nimeingia maishani mwake ni hanifahamu, halafu nataka awe vile ninavyotaka mimi naona anakosea kosea. And by the way ilinichukua week mbili kurealize kuwa nachofanya nakosea.Nilisoma comment ya huko juu pale uliposema alikataa uniform fulani kwa madai kuna watoto wanamcheka na wewe ukamuuliza "walikucheka kabisa wewe?"
Nikajua kuna kitu hakipo sawa kwako,
Nashuka chini nakutana na hii tena, nasikitika kusema kua umemuharibu mtoto wako, wewe ndie umemuondolea confidence, hawezi kua sawa na wewe na lord forbid hata huko mbeleni unless ufanye efforts kubwa sana kumtoa kwenye ile trauma ya vipigo ulivyokua unampa mtoto wa miaka minne, (Shame on you) eti stress haya hizo stress zako zikapelekea uwe unampiga mtoto mdogo ndio zimezaa hayo matunda,
Mtoto wa miaka minne anakukimbia ukikaa sitting room anaenda bedroom ukimfata bedroom anarudi sitting room, very sad.
Unasema kabisa "anajishtukia sana, ananikeera", mtoto wa miaka mitano unataka awe na confidence ipi? Ya kutongoza? Shule anafanya vizuri, watoto wenzie anacheza nao vizuri unataka afanye kipi cha zaidi? Mtoto anapitia bullying kutoka kwa watoto wenzie wanaomcheka kuhusu uniform wewe humuamini halafu unataka awe na confidence ya kufanya kitu gani?
Ulipaswa ushughulikiwe ipasavyo, unavyoendelea kukaa na huyo mtoto atakuja kupata chronic traumatic.
Kwa anaowafahamu anacheza anapiga kelele mpaka basi. Hata huyo ni so emotion yani kudondosha chozi bila kutoa sauti kwake ni rahisi.
Yani leo kanishangaza, shuleni wana uniform tatu tofauti, sasa akaniambie zile mbili hazipendi anapenda moja ni jezi kwa ajili ya michezo. Nikamuuliza kwanini, akasema eti pale school bus inapomshushia kuna watoto wanamcheka akivaa hizo unifoorm nyingine. Nikamuuliza ulisikia wanakucheka kabisa wewe, aksema mimi niliskia wanacheka tu. Yani ananikera anajshtukia sana. Hata mimi kuna muda anaweza niuliza mbona unanitazama nimefanya nini? Hiyo hali inanikera maana dunia ya leo bila kujiamini utakuwa mzee wa back bencher
Hio mbungi uliokuwa unamchezeshea ulimharibu saikolojikale. You have to please her and be sorry for that!Unajua mkuu mwaka na miez kadhaa nyuma nilipoanza ishi naye, nilikuwa mkali sana kwake nikawa namchapa sana nilikuwa naona anazingua plus nilikuwa na mastress yangu basi alikula kichapo sana. Akawa hawezi kaa na mimi nikikaa sebuleni anahamia chumbani nikimfuata chumbani anarudi sebuleni.
Later on nikaja realize nakosea na ni kitu kinaniuma hadi leo kila nikifkiria. Si kwamba namdekeza, hata sasa nikikasrika anajua kuwa anaweza shushiwa kipigo ila nimepunguza kummpiga hata akikosea na prefer kuongea naye kuliko kumpga au kumpa adhabu asifanye vitu anavyopenda. Actually mimi na yeye ni marafiki, vitu vingi anavyofanya uwa kwa namna moja ama nyngine nashiriki kumweka karibu nami. Sema hilo la confidence ni zero. Shule anafanya vizuri ila kujshtukia yani ni kama mwizi.
Kuongezea katika haya... mnunulie vitabu vya hadithi na asome kisha aje akuhadithie nini ameelewa katika hadithi. Na pamoja mjadili hiyo hadithi.The best technique ni kumhandle kama mtu mzima. Usimfanye ajihisi kama mtoto.
That includes kutokumkalipia hovyo...hii itamfanya aone kila anachofanya sio sahihi mwisho anakuwa muoga wa kuthubutu na hata kujieleza.
Ili kumjaza mtoto confidence jifunze kuwa appreciating parent kwa mambo mazuri ambayo atakuwa anafanya. Mpongeze na mpe zawadi. Make her feel appreciated na mchango wake ni mkubwa. Taratibu ataipaisha thamani yake. Pia jitahidi kumfanya ajione the best kid out of the crowd at most of the times.
Anapizingua basi mwite kwa upile mkanye na umwambie facts kwanini asifanye anachofanya. Usimfokee ongea nae kama mtu mzima.
Umejieleza vizuri sana,Natamani ungejua transformation aliyopotia kwa kipindi nilichokaa nacho... anyway hata huko kumpiga ni kwa muda mfupi tu kama wa weeke mbili hivi na naongelea mambo ya mwaka na miezi nane iliyopita. Usidhani niko hostile naye kama ulivyo imagine mkuu niliacha na wala si kwamba nilikuwa nampiga kwasababu nilikuwa na mnyanyasa. Na kunikimbia nadhani ilichangiwa zaidi na kuwa stranger kwake. Hakuwahi kuniona toka ana mieizi 9 halafu ghafla ana miaka minne nimeingia maishani mwake ni hanifahamu, halafu nataka awe vile ninavyotaka mimi naona anakosea kosea. And by the way ilinichukua week mbili kurealize kuwa nachofanya nakosea.
Labda nikuondoe shaka kwa kukwambia mimi ni rafiki yake kwasasa, tunacheza wote, tunatembea wote na ndiyo maana anaweza kuniambia matatizo yake kwasababu uwa namsikiliza na napenda kujua ni changamoto zipi anakutana nazo kila siku. Nafanya hivyo kwasababu watoto siku hizi huwezi kuiamini jamii tena, anaweza akawa anafanyiwa mambo mabaya ila asikwambie kwakuwa hupendi kujua. Na hizo uniform siyo kwamba ni za ajabu ni uniform za kawaida tu ambazo watoto wa shule wanavaa, na anapendeza sana akiwa kwenye hizo uniform.
Na usidhani naposema ananikera uwa namwambia kuwa ananikera hiyo nimesema hapa tu. Mimi uwa mara nyingi namwambia about the positive side ya mambo yake kuliko hayo yanayo nikera. Siyo kwamba uwa simpongezi, nampongeza sana tu hata kwa vitu vidogo tena si kwa maneno hadi kwa zawadi. Sitegemei awe na confidence ya mtu mzima, I just want to learn to make her more confident. I am trying to compare her na watoto wengine wenye umri wake wanaomzunguka. Na wala usidhani nalazimisha awe kama wao, but there is always a benchmark.
Narudia tena, usidhani niko hostile kwake kama ulivyo imagine, mimi ni rafiki yake. Kwasasa ni rafiki yake kiasi kwamba nikiwa around kama hajaenda shule siwezi hata kufanya kazi zangu nyumbani maana atakuwa around me muda wote na kumfukuza uwa nashindwa. Hata I can see it kuwa she is proud mimi kuwa baba yake, from the way anavyowambiaga watu aliozoeana nao sana kuhusu yeye na baba yake (yeye na mimi).
Uko so sensitive sana wewe. Mimi nalotaka ni awe na confidence ya kusimama mbele ya watu akaji express, asione aibu kukosea asiwe anajishtukia hilo ndilo nalotaka. Hayo yote anayafanya akiwa mbele yangu kasoro machache, lakini akiwa mbele ya watu wengine unaweza fikiria hata uwa haongei. Usidhani ana tatizo kubwa labda maana uanvyoandika kama vile ana brain trauma. Niko naye hapa anacheza video game na kelele kama zote... Acha kuwa emotional nisome unielewe nachotaka.Umejieleza vizuri sana,
Swali linakuja, unataka mtoto wako awe na confidence ipi?
Kama mnaongea vizuri, mnacheza vizuri, anafanya vizuri darasani unataka awe vipi tena zaidi? Maana ndio lengo la uzi wako,
Labda nikueleze kitu kimoja my dear friend, sikujui wala hunijui, ulichonacho moyoni wewe ndio unajua,
Trauma hujitokeza hata kwa abuse ya dakika 1, wewe unaona week mbili ni ndogo lakini trust me kwa mtoto haiwezi futika maisha yake yote (bitter truth),
Haukua kwenye maisha ghafla umejitokeza na kuanza kumpiga kwa week mbili mtoto wa miaka minne memory hua haifutiki,
Japo umeremba sanaa lakini ukweli unao ndio maana umekuja hapa kuomba ushauri wa kumfanya mtoto awe na CONFIDENCE, umesahau huko juu ulisema unaweza ukamuangalia akakuuliza "mbona unaniangalia nimefanya nini?" Ukamalizia "full kujishtukia, ananikeera"
Mtafute child psychologist near you, mpeleke mtoto akapate tiba mapema,
Kama wewe mzazi umeshaona kuna tatizo basi jua tatizo lipo.
Kwaiyo hupangiwi wala hushauriwi kama bwana yuleWatoto bwana,mwanangu ana miaka 3.5 huwa nikijaribu kumuongelesha kwa ukali au kumkalipia afanyi hicho kitu anachohitaji na wala haogopi ila ukiongea kwa upole anafanya na anakusikiliza.
Kiufupi naona kabisa nimejizaa maana nami nipo hivyo,uki ni command ndio umeharibu kabisa.
Fimbo Tu