Christianity!Sorry may I know your religion please?
Ni mara ya amefanya hilo jambo?
Yani Najikuta nakosa raha kabisa. .hata sina hisia nae kabisa sikuhiziNi nature ya mwanaume we ndo mama lao relax endelea na ndoa yako
Mathew 18:21 Kisha Petro akaja kwa Yesu akamwuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami niendelee kumsamehe? Hata mara saba?” 22 Yesu akamjibu, “Sikuambii mara saba, bali saba mara sabini.”Christianity!
Yeahh ni kijana niseme!Kwa sasa hii ni kawaida ila hakupaswa kukubali na kuomba samahani na kuahidi kutorudia,au bado ni kijana sana?
Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..Kwa sasa hii ni kawaida ila hakupaswa kukubali na kuomba samahani na kuahidi kutorudia,au bado ni kijana sana?
Najitahidi sana kuepuka kumcheat namungu anitie nguvu Kwani sitaki kulipiza kisasi kabisa! Nampenda na kumkubali sana ila Imani Imani imepotea LeeNdoa ni kuvumiliana , kama ulikoenda wewe haukumcheat hapo unaumia haswaa , samehe 7 mara sabini
Pole muhim ongea na moyo wako kwa kuwa unampenda ndo cha muhimNajitahidi sana kuepuka kumcheat namungu anitie nguvu Kwani sitaki kulipiza kisasi kabisa! Nampenda na kumkubali sana ila Imani Imani imepotea Lee
AsantePole muhim ongea na moyo wako kwa kuwa unampenda ndo cha muhim
Wee acha tu!! Inahuzunisha sana naKuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapeleka malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake wa kukiri kufanya hayo!
Ni pombe au kitu gani!!!
We mshitakie Mungu tuHabari za weekend wanajamvi!
Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!
Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.
Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
Dahhh!!Pole sana, msamehe endelea na maisha kupata mwanamme ambayebm hacheat ni ngumu sana sasa hivi, tumebaki 9 hapa Tz lakin namie naenda kushindwa sio muda hivyo watabaki 8[emoji25]