Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Achana na huyu mwanaume.Habari za weekend wanajamvi!
Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!
Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.
Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
Hizo ni theoretical thinking, realistic thinking kukiri kosa ni zaidi ya kujihukumu death sentence kwa mwanamke.Yani Mwanaume ukutwe na kosa halafu ujifanye kukataa kosa badala ya ukiri wa kosa halafu ujione hodari ?
Labda umkute mwanamke Mpumbavu lakini Kwa mwanamke Mwerevu kwa kule kukataa kwako kosa ili hali ushahidi wa wazi au wa kimazingira uko bayana ujue haitakusaidia sana sana unaongeza kosa lingine la kusema uongo[emoji108]
Sasa hapo makosa yatakuwa yameongezeka na kumuwezesha alokosewa Yani mke wa ndoa kufanya maamuzi sahihi kwa kutambua kuwa kumbe ana mume bandidu sugu ambae anafanya makosa na hayuko tayari ku-confess.
Mtu yeyote ambae anafanya makosa na kukataa in the first place huwa amekubuhu ktk kufanya makosa na ni wa kuwa naye kwa tahadhari.
Hata mtoto ktk familia ukiona anafanya makosa na kukataa kuwa hajafanya anza kumuogopa ndio badae huwa majambazi!
Ushauri wa hovyo kabisa huu...Wanaume tukiufuata huu,asilimia 90% ya ndoa zitavunjika instantlyYani Mwanaume ukutwe na kosa halafu ujifanye kukataa kosa badala ya ukiri wa kosa halafu ujione hodari ?
Labda umkute mwanamke Mpumbavu lakini Kwa mwanamke Mwerevu kwa kule kukataa kwako kosa ili hali ushahidi wa wazi au wa kimazingira uko bayana ujue haitakusaidia sana sana unaongeza kosa lingine la kusema uongo[emoji108]
Sasa hapo makosa yatakuwa yameongezeka na kumuwezesha alokosewa Yani mke wa ndoa kufanya maamuzi sahihi kwa kutambua kuwa kumbe ana mume bandidu sugu ambae anafanya makosa na hayuko tayari ku-confess.
Mtu yeyote ambae anafanya makosa na kukataa in the first place huwa amekubuhu ktk kufanya makosa na ni wa kuwa naye kwa tahadhari.
Hata mtoto ktk familia ukiona anafanya makosa na kukataa kuwa hajafanya anza kumuogopa ndio badae huwa majambazi!
You are blessed!Kama amekiri msamehe tu mwaya.
Fisi pro maxCha muhimu we njoo pm nikushauri kitu kizuri cha kufanya uweze kumsamehe jamaa na upuuzi wake!
Syenzi π€£Kuwa kawaida mara nyingi ni hadi nawewe uliwe nje. Otherwise inatesaga wengi hio hali ya dead butterflies!!!
Ruksa ya kuacha ni ya mume kwa mke muasherati.Mke hajaruhusiwa kuacha,read your bible carefullyKama ww ni mkristo, Kwa Hilo jambo bible ipo wazi kabisa unaruhusiwa kumwacha, ila ana kheri yule amsemeheaye mwenzake na kuendelea na ndoa
Wanaishi Ki Filipino zaidi hawaHizo ni theoretical thinking, realistic thinking kukiri kosa ni zaidi ya kujihukumu death sentence kwa mwanamke.
Bahat nzuri wote hatutoshek na mmojaYani Najikuta nakosa raha kabisa. .hata sina hisia nae kabisa sikuhizi
Ujumbe wa mwisho ndo jibu lenyeweHabari za weekend wanajamvi!
Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!
Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.
Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
ππππππππππππππππππππππππππMpaka hapo ushapigwa tatu bila ili mwende sawa. Tumia vifungu vya biblia kupigana hiyo vita mkuu mfano "jino kwa jino, Upanga kwa upanga maana yake kalipize kisasi"
Hamnaga hata sababu huwa ni maamuzi tu"Aliponiona alishtuka!"
Kuna uwezekano mumeo kashampiga chini, otherwise asingekuja wakati upo...
Kuna uwezekano pia, alishakuwa huru sana na mumeo na sasa ametaka kuwa huru na hapo kwenu...
Pia kuna uwezekano kwa akili zenu wadada/wanawake, alikuja makusudi ili tu umuone, ujue huyo ndio bi mdogo π₯
Again, tafuta kujua kwa nini mumeo ameleta mbususu ya kando home kwenu...
Cha ajabu huyo jamaa ikitokea nae kachitiwa ye ndio atakua kinara wa kulialia....haya mambo haya vidonda huwa vinapona ila makovu hayaishi!!!!Jamaa ako kakosea sana kukiri kosa.
Wanawake mnatabia ya visasi, hata unikute mapajani Lazima nikatae Sio Mimi.
Ushauri wa hovyo kabisa huu...Wanaume tukiufuata huu,asilimia 90% ya ndoa zitavunjika instantly