Haha 😀 hajakuhack bali ukishampa mtu Admin priviledges na yeye anakuwa na uwezo sawa na wewe Admin ulieunda group, unachoweza kufanya (kumpa mtu uadmin,kumuondoa uadmin,kuadd members,kuondoa members,kuedit group info,kufuta messages za members n.k) na yeye anaweza kufanya haijalishi wewe ndio ulitengeneza group as long as nyote ni admin mna power sawa.
Ushauri:
Muulize kwanini kafanya hivyo wakati group ni lako, mwambie akurudishie uadmin, akigoma anzisha jingine waambie members wajoin huko lazima utapata hata 50% ya members.