Unawezaje kumuondoa Admin aliyetengeneza Group la whatsapp,

Nilipewagwa uadmin group la wakubwa ili nimsaidie main admin, cha kwanza nikawa'unadmin woote nikabaki mwenyew, walitumia watu wa kila aina lkn wapi, haha niliwanyoosha baadae nikalifunga group.
 
Haha 😀 hajakuhack bali ukishampa mtu Admin priviledges na yeye anakuwa na uwezo sawa na wewe Admin ulieunda group, unachoweza kufanya (kumpa mtu uadmin,kumuondoa uadmin,kuadd members,kuondoa members,kuedit group info,kufuta messages za members n.k) na yeye anaweza kufanya haijalishi wewe ndio ulitengeneza group as long as nyote ni admin mna power sawa.

Ushauri:
Muulize kwanini kafanya hivyo wakati group ni lako, mwambie akurudishie uadmin, akigoma anzisha jingine waambie members wajoin huko lazima utapata hata 50% ya members.
 
No, you cannot remove the group creator from being an admin in a WhatsApp group, as they are always an admin unless they choose to leave the group themselves.
Here's a more detailed explanation:
Creator is always an admin: The person who creates a WhatsApp group automatically becomes an admin and cannot be removed from that role by other admins.
Admins can remove other admins: Admins can remove other admins, but not the group creator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…