Unawezaje kupata maambukizi ya UKIMWI kama unatumia kondom?

kupata ukimwi sio kirahisi hivyo kama mnavyofiki, kama wewe na mwenzako hamna michubuko kabisa uwezi kupata ukimwi ata mkienda dry
kama kuuvaa basi mgegedo uwe na mzuguano wa supersonic speed kiasi cha kupelekea michubuko
 
Ahsante kwa ushauri
 
Kama mwenzako anatumia dawa kwa usahihi uwezekano wa kupata ni mdogo maana virusi huwa vipo kwa uchache kwenye damu na havina nguvu hat kama hutatumia kinga
 
Virus walio kwenye mate si wengi, uwezekano wa kuambukizwa kwa toungue kiss ni mdogo sana

Virus wako wengi kwenye damu, sperms na vaginal fluids
Mmmh bibiye nani kakwambia sperms zina HIV ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] .... NB: jokes
 
Virus walio kwenye mate si wengi, uwezekano wa kuambukizwa kwa toungue kiss ni mdogo sana

Virus wako wengi kwenye damu, sperms na vaginal fluids
Hahahahaha et sperms???
Wewe unajibu ili mradi unajibu tu et.
Sperms tokea lini ikawa na virus???
 
Inaweza kupasuka pasipo wewe kujua
Hapo anakuwa hajatumia ipasavyo huku yeye akidhani ametumia...

Swali lake nadhani linalenga kwa mtu aliyetumia kondo ipasavyo na apate ukimwi

1. Je akitumia kondomu itakiwavyo lakini akadendeka, au afanya oral sex...
2. Je akitoka tu kunyoa, halafu yale majimaji yanayokugusa kinena mbele ya ilipoishia kondomu
3. Je, wanaposema kondomu haizuii kwa 100%, wana maana ya kupasuka? AU wana maana ya kuwa ina uwezekano wa kupitisha majimaji na huku imetumika ipasavyo?
 
Virus walio kwenye mate si wengi, uwezekano wa kuambukizwa kwa toungue kiss ni mdogo sana

Virus wako wengi kwenye damu, sperms na vaginal fluids
Tunazungumzia uwezekano, na si UKUBWA WA UWEZEKANO... to me, hata kama probability ni 1%, does not matter.... ishu ni kuwa kwa hiyo 1% ngoma inaingia
 
Hvi romance haiwez kuambukiza
HIV???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…