Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Usifanye inaambukizaHvi romance haiwez kuambukiza
HIV???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye inaambukizaHvi romance haiwez kuambukiza
HIV???
Ahsante sanaUsifanye inaambukiza
romance ya aje mkuu ili nianzie apoHvi romance haiwez kuambukiza
HIV???
hiyo ni yako kama sperms za mpandikizaj zingekua na virus bas kila anae zaliwa angekua +veVirus walio kwenye mate si wengi, uwezekano wa kuambukizwa kwa toungue kiss ni mdogo sana
Virus wako wengi kwenye damu, sperms na vaginal fluids
Ndio nashangaa sasaMmmh bibiye nani kakwambia sperms zina HIV ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] .... NB: jokes
Ngoja nikapime nitaleta mrejesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wengine hawavai na hawapati.
Ukimwu ni bahati tu kama tatu mzuka. Ukipata manake umelinganisha namba zako 3
Mama watoto za siku. Hilo jibu duuuhUnaweza kulowana ukiwa unatembea kwenye mvua na umevaa koti la mvua?
wa kuvaa wakati wa sexNdio nini hiyo Condom?
Baba watoto ulikuwa wapi?Mama watoto za siku. Hilo jibu duuuh
Sometimes YES..... Kuna maeneo unaweza kulowana na maeneo hutalowana na mvua....😀😀🙂🙂Unaweza kulowana ukiwa unatembea kwenye mvua na umevaa koti la mvua?
Baba watoto ulikuwa wapi?
Wewe utakuwa ni shoga utatumiaje jomoni?Mke wangu jomoni smartphone yangu imeharibika nashindwa ku access mtandao hadi niwe ofisini nitumie madem oh sorry modem
hahahahahahahhhhNa wengine hawavai na hawapati.
Ukimwu ni bahati tu kama tatu mzuka. Ukipata manake umelinganisha namba zako 3