Unawezaje kupata maambukizi ya UKIMWI kama unatumia kondom?

Unawezaje kupata maambukizi ya UKIMWI kama unatumia kondom?

Virus walio kwenye mate si wengi, uwezekano wa kuambukizwa kwa toungue kiss ni mdogo sana

Virus wako wengi kwenye damu, sperms na vaginal fluids
hiyo ni yako kama sperms za mpandikizaj zingekua na virus bas kila anae zaliwa angekua +ve
 
Wakati mwingine mtu anaambukizwa kutokana na majimaji kutoks kwa mpenzi wake yamegusa sehemu ambazo zina mchubuko (mfano mtu amenyoa dakika chache kabla ya shughuli alafu ikatokea amejikata)

Wengine huwa wana kichwa huku chini aka minywele kibao hapo kati (ma...v....zi), siku ya mechi ndio anakumbuka kuyanyoa ili aonekane yupo makini kumbe anakuwa amejikata kiaina (kwa wanaonyoa upara wa wembe wanaelewa). Anaposimamia show kumbe kuna maji maji kutoka kwa mrembo wake yanamgusagusa na mwishowe anaambukizwa pamoja na kwamba amevaa kondomu...bora uonekane mchafu kuliko kunyoa hayo mananii dakika chache kabla ya mechi
 
Doh, nikitumia ndomu, Waarabu hawaji kabisa, kwanza inanibana, hivo niliacha kabisa matumizi yake.
 
Back
Top Bottom