Pia unatakiwa ujitathmini kutokana na uwezo wako, hatua ya PhD na kuendelea, ni hatua ya kuandika machapisho(tafiti) na vitabu mbalimbali mara kwa mara ili kuionyesha dunia una ujuzi uliotukuka. Kuna aina mbili za PhD:-
- PhD hai:- hii ni PhD inayotoa machapisho na vitabu mara kwa mara katika 'platform' za kimataifa, na anaweza kufundisha chuo chochote duniani
- PhD mfu:- hii ni PhD ya cheti tu, haitoi machapisho wala vitabu, ni ile mtu kurizika tu kuwa ana PhD lakini haifanyi kazi. Anaweza pia asiajirike.