Unawezaje kusimamia biashara yako iliyo mbali na wewe?

Guatanam

Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
6
Reaction score
18
Habari wana JF,

Naomba ushauri ni teknolojia gani naweza kutumia kwenye biashara yangu, hususani duka, ili kudhibiti uendeshaji na Maputo kiujumla, ikiwa nipo mbali na hiyo biashara siwezi kutembelea mara kwa mara.
 
List bidhaa zote zilizopo alafu bidhaa zikiisha lazima kuwe na data za manunuzi na data za bidhaa zinazobaki kila siku bidhaa zinazobaki zihesabiwe hapo uki calculate utapata mauzo yaliyofanyika kwahiyo utajua kama biashara inaenda kwa faida au hasara (unaibiwa)
 
Hivi kumbe biashara ya duka unaweza kuhesabu kitu kimoja kimoja yaan mfano ameuza peni moja, biscuti moja, pipi 2 n.k alaf mkae chini mpige hesabu???? Sio rahisi kiivyo labd liwe duka dogo sana.
 
Habari wana JF,

Naomba ushauri ni teknolojia gani naweza kutumia kwenye biashara yangu, hususani duka, ili kudhibiti uendeshaji na Maputo kiujumla, ikiwa nipo mbali na hiyo biashara siwezi kutembelea mara kwa mara.
Weka software ya stock, na mauzo. Hii inarekodi mauzo,kutoa kitu kinachonunuliwa na kuongeza stock ulionunua. Pia inakokotoa tax na faida zako.
Halafu weka cctv na ukubaliane na muuzaji kili kinachouzwa apitishe kwenye system. CCtv utaitumia kumfuatilia kama akiuza anarekodi kama mlivyokubaliana.
CCtv unaiendesha kwenye smartph0ne yako tu.
 
Biashara za mbali Wahindi na waarabu huwa hawawezi. Lazima wawepo hapo that's why wanafanikiwa
 
Urahisi na ugumu unategemea na number ya items unazouza, na urahisi wa upatikanaji. Mfano kuna maduka kama ya spear unakuta items zinafika hata 200 au 300, so kumanage business ukiwa mbali inakuwa ngumu. Pia kama zinapatikana kirahisi wauzaji wanaweza wakawa wananunua za kwao wanauzia dukani kwako kwa kutumia pesa zako 😭😭. Ya kwao inaenda ukija kucheki items zako unakuta ziko vile vile. Ila biashara zenye items chache ni rahisi kumanage.
Mimi nina biashara ya item moja tu na naifanyia mbali ila najua vingapi vimeuzwa vingapi vimebaki. Mzigo nauagiza mwenyewe na mtu hawezi kuleta wa kwake akauzia kwangu.
 
Hivi kumbe biashara ya duka unaweza kuhesabu kitu kimoja kimoja yaan mfano ameuza peni moja, biscuti moja, pipi 2 n.k alaf mkae chini mpige hesabu???? Sio rahisi kiivyo labd liwe duka dogo sana.
Wewe kichwa chako kigumu kuelewa kwani hizo bidhaa ameziokota? Kama amezinunua let`s say mzigo wa 500k atashindwa kujua idadi ya bidhaa alizonunua?
muuzaji atumie excel kama hajui kutumia computer na sio tu computer hata hiyo excel yenyewe inahitaji uelewa!
 
Wewe kichwa chako kigumu kuelewa kwani hizo bidhaa ameziokota? Kama amezinunua let`s say mzigo wa 500k atashindwa kujua idadi ya bidhaa alizonunua?
muuzaji atumie excel kama hajui kutumia computer na sio tu computer hata hiyo excel yenyewe inahitaji uelewa!Sawa
 
Back
Top Bottom