kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Habarini wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya kabisa.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kama kichwa cha habari kilivyosema. Wewe kama binadamu uliyekamilika kifikra na kihisia, unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi wa aina yoyote. Uwe wa text, kushuhudia kabisa au kwa kuambiwa.
Ni swali nalojiuliza tunatofautiana nini mpaka wengine wana uwezo wa kusamehe usaliti na wengine wanashindwa kusamehe jambo hilo.
Em tupeane dondoo kidogo kuhusu hilo jambo.
Utawaacha wangapiKuna ambao wanasaliti ndio tabia zao na wengine wanasaliti kwa sababu zao binafsi ila dawa ya cheater ni kuachana nae tu
👍Samehe 7 mara 70
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye mstari.Sasa nyinyi mnataka michepuko ikapunguzie wapi nyege zao kama kila mtu akikaa kwenye mstari?
Kama mimi tu.Mim kama mwenza wangu hanisumbui kwa maana nikimtaka muda wowote nampata na anayajua mambo vizuri ya 6 kwa 6,afu mtoto fulani sifa zote anazo kama figure ya maana na sura na sio mpiga vizinga vya ajabu ajabu kama vile vya laki 2 sjui mama kawaje mjomba kameza shoka.
Naweza mvumilia kabisa hata akiwa na usaliti hata kama najua ila siwezi kumuoa ila kuwa nae kimahusiano naweza hata miaka 10+
Kabisa!!Mkuu mi niliwahi kusamehe lakini mwanamke sikua nahamu nae tena hata afanye nn...bora kuachana tu.
Me nakutafuta wewe tu kila angle leo ndo Kazi nilojpa, Kimsingi inauma lakini unapaswa kuasamehe ili ujenge mahusiano yenye kuheshmiana badae ukiamua kua wa kuacha basi utakua sawa nae kwa maana wote mnabadil sample mara kwa mara.Kabisa!!