Unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi?

Unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi?

Ni kutafuta kitulizo tu nje

Tena awe vizuri kuliko msaliti

Amzidi hadi dhambi!!!!!!!!
 
Habarini wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya kabisa.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama kichwa cha habari kilivyosema. Wewe kama binadamu uliyekamilika kifikra na kihisia, unawezaje kustahimili usaliti wa kimapenzi wa aina yoyote. Uwe wa text, kushuhudia kabisa au kwa kuambiwa.

Ni swali nalojiuliza tunatofautiana nini mpaka wengine wana uwezo wa kusamehe usaliti na wengine wanashindwa kusamehe jambo hilo.

Em tupeane dondoo kidogo kuhusu hilo jambo.

Kila mtu na roho yake sio wote wanaoumia..... Ila cha peke ako ni roho yako ukilijua hilo hakuna ataekupa tabu
 
Back
Top Bottom