Unawezaje kutrack sms za whatsup?


Nop kama unatumia namab hiyo hiyo ulio configure ndio ita ji veryfy yenyewe ila kama umweka namba nyingine ita goma then itakuambia uweke code ulizo tumia kwenye namba ulio weka .
 
Pia msikae kubisha whatsapp kila muda wanajaribu ku update so wao wenyewe waki shtukia hurekebisha ndio maana unaona kuna muda ina kudai u update
 
Nop kama unatumia namab hiyo hiyo ulio configure ndio ita ji veryfy yenyewe ila kama umweka namba nyingine ita goma then itakuambia uweke code ulizo tumia kwenye namba ulio weka .

basi yaelekea tunatumia vimeo tofaut,,na inadepend na kimeo... kuna upgrade mpya ya whatsapp imetoka,,baada ya kuupgrade, kuna baadhi ya vimeo vimepoteza hiyo app na inagoma kabisaa
 

Nadhan hujaelewa nilicho kua naeleza, ni kwamba Whatsapp haiwezi tumia account moja ndani ya device zaidi ya moja. lakini inawezekana kutumia whatsapp katika simu ya Voda lakini unatumia account ya Tigo.

naomba nikuulize tu, kwenye device zote unatumia number ya Tigo??

Whatsapp wanapo update app wanasema what is the major change, lakini hiyo ya same account in multiple device mie sijawahi iona mkuu
 
Nop kama unatumia namab hiyo hiyo ulio configure ndio ita ji veryfy yenyewe ila kama umweka namba nyingine ita goma then itakuambia uweke code ulizo tumia kwenye namba ulio weka .

basi yaelekea tunatumia vimeo tofaut,,na inadepend na kimeo... kuna upgrade mpya ya whatsapp imetoka,,baada ya kuupgrade, kuna baadhi ya vimeo vimepoteza hiyo app na inagoma kabisaa
 
Mkuu maelezo mazuri ila haiwezekani....whatsup siyo wajinga unavyofikiri
 

Ni hivi simu ina account ya tigo na line ya tigo Tab ina account ya tigo ila line ya voda, hapa navyo andika zipo hivyo msg napata kwa simu na tab ila nacho andika kwenye tab sikioni kwenye simu viceversa

Any way mi ubishi na mashindano sipendi sio issue yangu kivile tufanye ur ryt haiwezekani Happy!!!
 
Nimefuatilia sana mjadara, wandugu tusimlaumu sana Netwoker. Jamaa yupo sahihi. Maelezo aliuoyasema ni sahihi kabisa. Me nilijiunga na Whatsapp kwa line yangu then nikatoa line kuweka kwenye cm nyingine ila nimeisajiri huku kwa line nyingine simu yng ni line2. Cm yng ya awali anayodogo wng. Cha ajabu yy alikuwa akiingia tu net alikuwa anapata msg zng zote ninazotumiwa namimi pia napata hizo hizo. Akawa ananiambia hadi nilipoiunistall na kuinstall upya na kusajiri kwa namba yake ndio ikawa hapati. INAWEZEKANA. Big up NETWOKER
 

Uko sahihi mkuu. Haiverify kwa kuingiza code kama viber ila inafanya process yenyewe baada ya kuingia message ya code. This means ikiwa itaingia message ya code na ukaingiza code kwenye simu nyingine itashindwa kuendelea na process.
 
Uko sahihi mkuu. Haiverify kwa kuingiza code kama viber ila inafanya process yenyewe baada ya kuingia message ya code. This means ikiwa itaingia message ya code na ukaingiza code kwenye simu nyingine itashindwa kuendelea na process.

alsaidy ukiweka namba ambayo iko kwenye cmu ita ji veryfy yenyewe ila ukiweka namba tofauti nailiopo kwenye simu lazima ita kuambia ingiza code zilizo tumwa kwa njia ya msg hvyo itabidi uwe na hyo simu uchukue hizo code na kuzi type code zenyewe ziko hivi xxx-xxx ukisha weka yenyewe ina anza ku configure au itakuambia proceed.All in all njia zote mbili ni applicable
 
Last edited by a moderator:

Tuko pamoja mkuu, binafsi sijawahi kujaribu kama ulivyoeleza ila naamini njia zote zinawezekana.
 
Last edited by a moderator:
Ila hata mm namejaribu lain yangu ya zaman ambayo haipo kwenye simu ndo naitumia kwa WhatsApp na napokea sms kawaida tu
 
Duh! Huyu jamaa anatufunga kamba hv hv... Whatsapp haisapot matumizi ya namba moja ktk simu mbili. Alicho kieleza mdau si kweli. Labda utafute App inaitwa mobile tracker na simu ya mlengwa unaetaka kusoma text zake lazima iwe rooted. Ila ku track fb,whatsap nk
 
Ila hata mm namejaribu lain yangu ya zaman ambayo haipo kwenye simu ndo naitumia kwa WhatsApp na napokea sms kawaida tu

maelezo yako na shida ya mtoa mada, hayaendani ingwa ulicho comment kinawezekana.
 
Kuna kitu kinaitwa "Privacy of information". Ni serious issue na kama ukikutwa ume violate utafungwa. Pia kama wewe ni msomi na unaelewa its not good ku hack account ya mtu.
 
Natafta namna ya kutrack sms za whatsup mwenye maujuzi anisaidie

Mkuu hili swala linawezekana kama unalifanya kwa manufaa.

Hakuna kitu kinachoshindikana kama kawaida ya wazungu wanapoleta ugongwa wanatengeneza na dawa ili waendelee kupiga pesa.

Hapa kuna software ambazo unaweza kuzitumia kwaajili ya ku-track msg, file,audio,voice note,video na image, hizi software ziko hot sasa hivi ndio top 5 whatsApp best hacking tools, zinafanya kazi vizuri.
Tatizo ni kwamba hapa lazima uweumejiandaa kigharama maana zinauzwa hazipatikani bure, sehemu yoyote ile kutokana na unyeti wake.

Kwa majina na bei zake hizi hapo.

  • Stealth genie $160 USD
  • Mobile spy $100 USD
  • Mobistealth $200 USD
  • Mspy $200 USD
  • Spy bubble $84.90 USD
 

Napata shida sana kuyaelewa maelekezo yako kutokana na unyeti wa swala lenyewe na maelezo yako jinsi yalivyo ya kawaida.

Ninaimani ndogo sana na kulichokieleza hapa kwa vile hiki kitu nilishakijaribu na kikashindikana.

Upande mwingine siwezi kukukatalia kama wewe ulifanikiwa, ila nitakachokifanya hapa ni kukupatia njia nilizotumia tuone ni wapi nilikosea na wewe nikipi ulichokifanya mpaka ikawezekana.
(1)Nilifungua WhatsApp.
(2)Nikaweka namba nilizokuwa nataka kuzi-track, hapa tayari hizo namba zilikuwa zimeshasajiliwa WhatsApp kwa simu
nyingine na zinaendelea kutumika.
(3)Baada ya ku-load mwisho ikashindwa kutuma verfy code, hapa ukawa ndio mwisho wa picha na zoezi kushindikana. Nimelifanya hili zoezi zaidi ya mara tano.

Katika hizo hatua naomba unikosoe ni wapi nilienda kinyume na wewe ulivyofanya, simu yangu ilikuwa na line ya voda vile vile line niliokuwa nataka kui-track ilikuwa ya voda.

NB;

Kama nitakuwa nimekunukuu vibaya basi utanirekebisha kwajinsi nilivyokuelewa wewe ni kwamba unasimu mbayo unatumia WhatsApp kwa namba ya tigo lakini hata kama ukitoa hiyo line ya tigo na ukaweka line ya voda kwenye simu hiyo hiyo simu bado unaendelea kutumia WhatsApp kwa ile ile account ya tigo.

Kama ni hivyo inawezekana kwavile hiyo voda hauitumii kama account ya WhatsApp, ila inatumika kwaajili ya ku-acces internet tu, lakini kama ni kinyume na hapo basi tutarudi kwenye maelezo yangu kule juu.
 
Nilikua na simu naitumia nikatoa line nikampa dogo cha ajabu dogo alipoweka line yake akendelea kupokea na kutuma maseji kwa acc yangu lakini no yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…