kama nime kuelewa vizuri unamanisha unataka kupata sms za mtu mwingine na ukazisoma.if yes
chukuwa simu nyingine inayo support whatsapp instal wahatsapp ukifika sehemu ya kuweka number zako za line iliyo kwenye simu usifanye hivyo badala yake weka namba za mtu unateka kusoma sma zake hakikisha una simu yake hapo whatsapp wata tuma code kwa njia ya sms ili ku veryfy na kuendelea na installation zi andike hizo namba za verfication zitakazo tumwa kwenye namba ya unaetaka kusima sms zake then malizia installation off you go.futa sms ya code zilizotumwa kwake,kwanzia hapo utapokea sms zote atakazo tumiwa ila hutaweza kupata anazo zituma yeye.
Napata shida sana kuyaelewa maelekezo yako kutokana na unyeti wa swala lenyewe na maelezo yako jinsi yalivyo ya kawaida.
Ninaimani ndogo sana na kulichokieleza hapa kwa vile hiki kitu nilishakijaribu na kikashindikana.
Upande mwingine siwezi kukukatalia kama wewe ulifanikiwa, ila nitakachokifanya hapa ni kukupatia njia nilizotumia tuone ni wapi nilikosea na wewe nikipi ulichokifanya mpaka ikawezekana.
(1)Nilifungua WhatsApp.
(2)Nikaweka namba nilizokuwa nataka kuzi-track, hapa tayari hizo namba zilikuwa zimeshasajiliwa WhatsApp kwa simu
nyingine na zinaendelea kutumika.
(3)Baada ya ku-load mwisho ikashindwa kutuma verfy code, hapa ukawa ndio mwisho wa picha na zoezi kushindikana. Nimelifanya hili zoezi zaidi ya mara tano.
Katika hizo hatua naomba unikosoe ni wapi nilienda kinyume na wewe ulivyofanya, simu yangu ilikuwa na line ya voda vile vile line niliokuwa nataka kui-track ilikuwa ya voda.
NB;
Kama nitakuwa nimekunukuu vibaya basi utanirekebisha kwajinsi nilivyokuelewa wewe ni kwamba unasimu mbayo unatumia WhatsApp kwa namba ya tigo lakini hata kama ukitoa hiyo line ya tigo na ukaweka line ya voda kwenye simu hiyo hiyo simu bado unaendelea kutumia WhatsApp kwa ile ile account ya tigo.
Kama ni hivyo inawezekana kwavile hiyo voda hauitumii kama account ya WhatsApp, ila inatumika kwaajili ya ku-acces internet tu, lakini kama ni kinyume na hapo basi tutarudi kwenye maelezo yangu kule juu.