Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,487
- 1,661
Nilikua na simu naitumia nikatoa line nikampa dogo cha ajabu dogo alipoweka line yake akendelea kupokea na kutuma maseji kwa acc yangu lakini no yake
Mkuu hilo linawezekana sana.
Swali la msingi je, hiyo simu yako ulijiunga kwa namba ile ile ambayo ulitumia kwenye simu ya mwanzo?