Unawezaje kuushinda upweke aisee!!

Tafuta mwenza.....

hukujileta duniani mwenyewe, mke na mume walishirikiana kukuleta, likewise huwezi kuishi peke yako...

You can't be Robinson Crusoe....
Asante kwa ushauri mkuu
 
Tafuta mwenza ,au kama huna mwenza, fuata hobbies zako.. kama unapenda kucheza game,kusikiliza muziki. Na pia jichanganye na marafiki, usikae peke yako muda mrefu.
Nitafanya hvyo mkuu
 
Huwezi utajidanganya kwa watu huku unaumia moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…