Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife.

Ushauri wenu tafadhali
Kuna watu wana miaka 10+ wewe unazungumzia 2 years!!
 
Back
Top Bottom