Voda & haloUnatumia mtandao upi
Simu yangu ukiblock number unaruhusu notification akikutafuta Unajua, kama unatumia Huawei p60 pro sijajua kwa ziingineWakuu si mara kwa mara ungependa kupokea simu ya mtu lakin pia usipopokea na usipokuja kumtafuta baadaye inaeza tengeneza maswali mengi sababu anajua missed call ulipata,
lakin wakati mwingine inawezekana mazingira ya kupokea hiyo simu siyo mazur ukaacha ukisema utakuja kumtafuta baadaye ukasahau ni hoja tayar
Kwahiyo cha msingi ni kutafuta njia ambayo hutapatikana lakini utajua Nani kakutafuta na baadaye ukiwa na nafasi nzur umtafute
*21*0754125125# kuitoa #21*0754125125#.By the way lipa tu deni la watu,kuhama njia hakukusaidii.Voda & halo
Dawa ya Deni ni Kulipa tu Mkuu Oky?Wakuu si mara kwa mara ungependa kupokea simu ya mtu lakin pia usipopokea na usipokuja kumtafuta baadaye inaeza tengeneza maswali mengi sababu anajua missed call ulipata,
lakin wakati mwingine inawezekana mazingira ya kupokea hiyo simu siyo mazur ukaacha ukisema utakuja kumtafuta baadaye ukasahau ni hoja tayar
Kwahiyo cha msingi ni kutafuta njia ambayo hutapatikana lakini utajua Nani kakutafuta na baadaye ukiwa na nafasi nzur umtafute
Je akikutafuta akikukosa utajua kama kakutafuta*21*0754# kufunga
#002# kufungua apo kila atakaekupgia simu itakua haiingii au kuambiwa namba haipo au namba haipatkan au namba sio sahii lakn msg unatuma
Utagundua kuwa amekutafuta*21*0754125125# kuitoa #21*0754125125#.By the way lipa tu deni la watu,kuhama njia hakukusaidii.
Siyo kuwa kila anayenunua silaha ni jambaz mwingine anajilinda tuLipa deni la watu, wewe
Kuzima kabisa,Uko ni kuuwa nzi kwa kutumia Bomu you will harm civilians (social media)and infrastructure (important calls and SMS)🤠Dawa ni moja, switch off hiyo laini. Iwe haipatikani, mambo ya hutaki kupokea simu ya mtu na bado utake kujua nani alikutafuta hiyo haina afya.
Bonyeza hivi *35*0000# afu piga afu bonyeza ok!! Njoo hapa ulete mrejesho kwa VodaKuzima kabisa,Uko ni kuuwa nzi kwa kutumia Bomu you will harm civilians (social media)and infrastructure (important calls and SMS)[emoji1783]