LGE2024 Unayajua majukumu ya Viongozi wako wa Mtaa? Je, wanayatimiza?

LGE2024 Unayajua majukumu ya Viongozi wako wa Mtaa? Je, wanayatimiza?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam Wakuu,

Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Watu wengi tunauchukulia poa Uchaguzi wa hivi kwa kutokuelewa hasa umuhimu na majukumu ya Serikali za Mitaa.

Kabla ya kufika Uchaguzi Je unayajua majukumu ya viongozi wako wa Mtaa kama Wenyeviti, Madiwani na Watendaji?

Je, wanayatimiza majukumu Yao?

Wanastahili kuchagulia au kupewa nafasi nyingine?

Karibu tujadili
 
Hii ni muhimu, mwenye kujua tafadhari tueleweshe majukumu yao na kila kitu kinachowahusu ikiwezekana, hii elimu ni muhimu kama raia
 
Mtaani kwangu ni kama hakuna serikali ya mtaa, tunaishi ishi tu bora liende.
 
UKiachana na hili la kugonga muhuri kwenye fomu na barua??? 😃
 
Back
Top Bottom