The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
1.Nikiwa mdogo nilipenda hoja zake,hasa vita dhidi ya Uganda:Uwezo wa kupiga tunao,Nia tunayo,tunataka Dunia ituelewr hivyo!Kauli ya kishujaa hata katika maisha kwa ujumla.Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje?
- Julius Kambarage Nyerere,
- Abeid Aman Karume,
- Ali Hassan Mwinyi,
- Benjamin Mkapa,
- Jakaya Kikwete,
- John Magufuli na,
- Samia Suluhu Hassan.
Magufuli ni shetani. Samia ndiye rais wa hovyo kuliko wote. Nyerere alaumiwe sana kwa kutotupatia katiba nzuri. Mwinyi, mkapa, ******** walikuwa wez wakubwa. ******** alijifanya mlinzi wa rasilimali lakini alikuawa jizi na katili mbaya kabisa. Kwa kifupi ccm ndiyo laana kubwa tuliyolaaniwa watz.Jk Nyerere-katiba mbaya na mifumo kandamizi
John Magufuli -mzalendo
Samia Hasan - bado sijajua uelekeo wake
Jakaya Kikwete - kula Bata
Abedi Karume - simfahamu
Benjamin mkoa - Alimtetea Magufuli