GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje kuwasubiria Ihefu FC katika NBC Premier League ya Tanzania.
Naendelea Kusisitiza kuwa kwa Kujiamini kabisa ni kwamba tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC anaenda Kushinda Mechi yake muhimu kwa 100%.
Naendelea Kusisitiza kuwa kwa Kujiamini kabisa ni kwamba tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC anaenda Kushinda Mechi yake muhimu kwa 100%.