mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Hapa home pana 109 ipo tu juu ya mawe. Nina uhitaji sana na Gari ndogo ya mizigo, inisaidie kazi za shamba na store.
Nimewaza nifufue 109 tu nifunge break za canter, nivalishe mfumo mpya wa umeme au ninunue gari nyingine.
Kwenye kuchakata nimeikuta hii town hiace, hii gari sijui kabisa. Nisaidie shida zake na faida zake kwa kulinganisha na gari nyingine ndogo kama hizo, na bei zake nikimvua mtu. Kiufupi siwezi kunyoka budget yangu ni milioni kumi tu.
NB: Nitaitumia mwenyewe haitakuwa na mikono mingi.