Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Maajab ya pil nayo hayaMkuu,kwan jina lako unalo wew tu Tz nzima(Dunia nzima)?
Kuna nomino za pekee.Mkuu,kwan jina lako unalo wew tu Tz nzima(Dunia nzima)?
Em' naomba umwambia jamaa atutajie majina yake kamil tuone kama hakuna mwingine mwenye jina/majina hayoKuna nomino za pekee.
Unakuta mtu anaitwa
KIBORI nangaaaya
Au napingiya kaburundeti
Na namba yake ya simu kabisa
Siku akifia guest......maiti itazikwa na City......watamtangaza bila mafanikio....Habari jamani.
Leo nimekuja hapa Dsm mtaa wa Kunduchi, nikaona nilale guest house fulani hivi. Wakati najiorodhesha jina kwenye kitabu cha wageni, nikaona jina langu kana kwamba nimelala hapa tarehe 05.03.2017.Wakati kipindi hicho mm sikuwepo Dsm.
Napata wakati mgumu kumjua aliyeingia hapa na kimada akaniandika mm.
Pia n risk sana kwako wewe unayependa kuniandika mm ukiwa na kimada chako.
shabashi.
Teh teh
Hivi punde eti taja majina mkuuEm' naomba umwambia jamaa atutajie majina yake kamil tuone kama hakuna mwingine mwenye jina/majina hayo
Au Ndeito Kois,Nemburis Kipuyo,au Moitaa MepukoriiKuna nomino za pekee.
Unakuta mtu anaitwa
KIBORI nangaaaya
Au napingiya kaburundeti
Na namba yake ya simu kabisa
Bora hiyo,Siku akifia guest......maiti itazikwa na City......watamtangaza bila mafanikio....
HahaAu Ndeito Kois,Nemburis Kipuyo,au Moitaa Mepukorii
Mkuu,kile kineno "aseeh"ushakipotezea nini??!!Sioni unakitumia ati!Haha... ungekuwa na mkeo leo ndiyo ungejua
Sijakipotea mkuu... kipo aseehMkuu,kile kineno "aseeh"ushakipotezea nini??!!Sioni unakitumia ati!